Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DKT SHEIN APOKEWA ZANZIBAR KWA KISHINDO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akivalishwa Skafu na Kijana Chipukizi Pili Hassan Suluhu mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kwa ndege ya Serikali akitokea Dodoma leo baada ya kuteuliwa tena na Kamati Kuu ya CCM Taifa kugombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili kupitia CCM,[Picha na Ikulu.]Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akivalishwa Skafu na kijana chipukizi ...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MGOMBEA URAIS CCM DKT SHEIN APOKELEWA KWA KISHINDO ZANZIBAR LEO

 Mgombea wa nafasi ya Urais Zanzibar kupitia CCM Dkt Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idd mara baada ya kuwasili Uwanja wa ndenge wa Zanzibar akitokea Dodoma ambapo alithibitishwa rasmi kugombea nafasi hiyo. Mgombea wa nafasi ya Urais Zanzibar kupitia CCM Dkt Ali Mohamed Shein akivalishwa Shada la maua mara baada ya kuwasili Uwanja wa ndenge wa Zanzibar akitokea Dodoma ambapo alithibitishwa rasmi kugombea nafasi hiyo.  Mgombea wa nafasi ya...

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI APOKEWA KWA KISHINDO WILAYANI LUDEWA MKOANI NJOMBE.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Ludewa mjini kabla ya kuanza kuwahutubia ,kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika mjini humo na kuhudhriwa na maelfu ya watu.
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Ludewa waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika mjini humo.
Mgombea Ubunge wa jimbo la...

 

10 years ago

Michuzi

PONGEZI KWA DKT. ALI MOHAMED SHEIN KWA KUPEPERUSHA BENDERA YA CCM KWA NAFASI YA RAISI WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

CCM TAWI LA CHINA TUNATOA PONGEZI KWA MWENYEKITI WA CCM TAIFA, WAJUMBE WA KAMATI YA MAADILI NA USALAMA, KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA, HALMASHAURI KUU YA TAIFA NA MKUTANO MKUU WA TAIFA KWA KUTUPATIA MGOMBEA MWADILIFU, MAKINI, MZALENDO WA KWELI NA MPENDA MAENDELEO AMBAYE ATAPEPERUSHA BENDERA YA CHAMA CHETU KWA NAFASI YA URAISI WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR KATIKA UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA 2015, TUNATARAJIA KUPATA USHINDI WA KISHINDO. HONGERA SANA DKT. ALI MOHAMED SHEIN.WEMBE...

 

11 years ago

Michuzi

Dkt Shein awaandalia chakula kwa watototo wa Halaiki Zanzibar

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpainduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamadi,(kulia) katika  hafla ya Chakula cha mchana alichowaandalia Watoto waliocheza  halaiki katika sherehe za  miaka 50 ya Mapinduzi  ya Zanzibar katika kilele kilichofanyika Uwanja wa Amaan Mjini Unguja tarehe 12 jan 2014.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mpainduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif...

 

10 years ago

Michuzi

Dkt. Shein akabidhi Vihori kwa wakulima wa mwani,Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na mwakilishi wa VSO Tanzania Jean Van Wetter wakati alipowasili katika viwanja vya Ukimbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja leo katika hafla ya sherehe ya kukabidhi Vihori kwa wakulima wa Mwani.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiangalia bidhaa mbali mbali zilizotengenezwa kwa kutumia zao la mwani na kikundi cha Ulezi ni Kazi cha shehia ya Fujoni Jimbo la...

 

10 years ago

Habarileo

Shein aahidi ushindi wa kishindo Zanzibar

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein.MGOMBEA Urais wa CCM kwa Tanzania Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, Dk Ali Mohammed Shein amesema anao uwezo wa kukipatia chama chake ushindi wa kishindo.

 

11 years ago

Michuzi

Dkt. Shein azindua Kongamano la ajira kwa Vijana leo Bwawani Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akifungua kongamano la siku mbili la Kitaifa la Ajira kwa Vijana katika ukumbi Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja leo. Baadhi ya washiriki katika Kongamano la Kitaifa la Ajira kwa Vijana wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Hotel Mjini Unguja.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

 

5 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DKT.SHEIN AFUNGUA MKUTANO WA JUKWAA LA KUMI LA BIASHARA ZANZIBAR

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati akilifungua Jukwaa la Kumi la Biashara Zanzibar, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, na kuwashirikisha Wadau wa Sekta Binafsi na za Umma  na Wafanyabiashara Zanzibar . KATIBU Mkuu Kingozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi. Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Jukwaa la kumi (10) la Biashara...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani