Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shein aahidi ushindi wa kishindo Zanzibar

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein.MGOMBEA Urais wa CCM kwa Tanzania Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, Dk Ali Mohammed Shein amesema anao uwezo wa kukipatia chama chake ushindi wa kishindo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

KINANA aahidi CCM kushinda kwa kishindo uchaguzi mkuu Zanzibar 2015

01

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akishiriki kufyeka majani mbele ya Chuo cha Sayansi ya Bahari (IMS), alipotembelea chuo hicho kilicho chini ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam eneo la Buyu, Unguja Zanzibar jana wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM pamoja na kusikiliza kero za wananchi ili zipatiwe ufumbuzi. (PICHA ZOTE NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG).

Kinana akikagua jengo jipya la Chuo cha...

 

9 years ago

Mtanzania

Dk. Shein aahidi kuipaisha zaidi Zanzibar

2dk-sheinNa Mwandishi Wetu, Zanzibar

MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Ali Mohammed Shein, amesema amedhamiria kuipaisha Zanzibar kwa kuwa uwezo huo anao.

Amesema kwamba, pamoja na majukumu mengi aliyonayo, kazi hiyo ataifanya katika miaka mitano ijayo kama atafanikiwa kuendelea kukiongoza kisiwa hicho.

Kutokana na hali hiyo, amewatahadharisha Wazanzibari wasiwachague wagombea waongo ambao mara zote wamekuwa wakisema uongo majukwani kwa lengo la kupata madaraka.

Dk....

 

10 years ago

Vijimambo

DKT SHEIN APOKEWA ZANZIBAR KWA KISHINDO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akivalishwa Skafu na Kijana Chipukizi Pili Hassan Suluhu mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume kwa ndege ya Serikali akitokea Dodoma leo baada ya kuteuliwa tena na Kamati Kuu ya CCM Taifa kugombea Urais wa Zanzibar kwa kipindi cha pili kupitia CCM,[Picha na Ikulu.]Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akivalishwa Skafu na kijana chipukizi ...

 

9 years ago

Mwananchi

CCM Zanzibar wazindua rasmi kampeni, Shein aahidi kudumisha mapinduzi

Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar leo wamezindua rasmi kampeni za kitaifa kuelekea uchaguzi mkuu mwezi Oktoba mwaka huu.

 

10 years ago

Michuzi

MGOMBEA URAIS CCM DKT SHEIN APOKELEWA KWA KISHINDO ZANZIBAR LEO

 Mgombea wa nafasi ya Urais Zanzibar kupitia CCM Dkt Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Idd mara baada ya kuwasili Uwanja wa ndenge wa Zanzibar akitokea Dodoma ambapo alithibitishwa rasmi kugombea nafasi hiyo. Mgombea wa nafasi ya Urais Zanzibar kupitia CCM Dkt Ali Mohamed Shein akivalishwa Shada la maua mara baada ya kuwasili Uwanja wa ndenge wa Zanzibar akitokea Dodoma ambapo alithibitishwa rasmi kugombea nafasi hiyo.  Mgombea wa nafasi ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

CCM ZANZIBAR: Yafanya tathmini na kujipima ushindi wa asilimia 60 kwa Dk. Shein!

VUAINaibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai ambaye ametoa  tathmini hiyo mapema jana  kwa waandishi wa Habari visiwani humo.

Na Faki Mjaka

[MAELEZO-ZANZIBAR]. Chama cha Mapinduzi CCM kimetoa tathmini yake ya mwelekeo wa Kampeni za Uchaguzi mkuu zinazoelendelea nchini na kudai kuwa Mgombea wake wa Urais Dkt Ali Mohamed Shein anakubalika kwa zaidi ya Asilimia 60 dhidi ya Wagombea wengine.

Akitoa tathmini hiyo mbele ya Wanahabari Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai amesema hatua hiyo...

 

9 years ago

Habarileo

Wana CCM wahimizana ushindi wa kishindo

NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai amewataka wanachama wa chama hicho kujiandaa na hatimaye kujitokeza kwa wingi katika Uchaguzi Mkuu wa marudio, ili kukiletea ushindi wa kishindo chama hicho.

 

10 years ago

Mwananchi

Makamba: Enzi za ushindi wa kishindo CCM zimepita

Siku chache baada ya matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuonyesha kuwa CCM, imeporomoka, Mbunge wa Bumbuli, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba amewataka wanachama wa chama hicho kujiandaa kisaikolojia kwa matokeo yoyote yanayoweza kutokea katika Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani