Dk. Shein aahidi kuipaisha zaidi Zanzibar
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
MGOMBEA Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Ali Mohammed Shein, amesema amedhamiria kuipaisha Zanzibar kwa kuwa uwezo huo anao.
Amesema kwamba, pamoja na majukumu mengi aliyonayo, kazi hiyo ataifanya katika miaka mitano ijayo kama atafanikiwa kuendelea kukiongoza kisiwa hicho.
Kutokana na hali hiyo, amewatahadharisha Wazanzibari wasiwachague wagombea waongo ambao mara zote wamekuwa wakisema uongo majukwani kwa lengo la kupata madaraka.
Dk....
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo13 Jul
Shein aahidi ushindi wa kishindo Zanzibar
MGOMBEA Urais wa CCM kwa Tanzania Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, Dk Ali Mohammed Shein amesema anao uwezo wa kukipatia chama chake ushindi wa kishindo.
9 years ago
Mwananchi13 Sep
CCM Zanzibar wazindua rasmi kampeni, Shein aahidi kudumisha mapinduzi
10 years ago
Michuzi9 years ago
Mtanzania09 Oct
Dk. Shein aahidi neema kwa wafanyabiashara
Na Esther Mbussi, Zanzibar
MGOMBEA urais wa Zanzibar, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Ali Mohamed Shein amesema maendeleo kwa wafanyabiashara wadogo visiwani humo ni lazima.
Kutokana na hali hiyo, ameahidi kuwajengea eneo la maonyesho ya biashara ili kuwavutia wafanyabiashara wa nje.
Akizungumza katika viwanja vya Urafiki, Jimbo la Sahurimoyo mjini Unguja juzi, Dk. Shein alisema mradi huo licha ya kuwavutia wafanyabiashara, utawasaidia kutangaza biashara zao.
“Wafanyabiashara...
9 years ago
Mtanzania03 Oct
Dk. Shein aahidi kuboresha elimu Pemba
Na Esther Mbussi, Zanzibar
MGOMBEA urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Ali Mohamed Shein, ameahidi kutoa kompyuta na kuongeza idadi ya walimu wa masomo ya sayansi katika shule za sekondari Kusini Unguja.
Akizungumza katika mkutano wa kampeni eneo la Paje, Kusini Unguja Dk. Shein alisema kuongeza idadi ya walimu wa masomo ya sayansi kutasaidia kuongeza ufaulu wa masomo hayo.
“Serikali itaboresha sekta ya elimu kwa kujenga shule na tayari tunamalizia shule 22 tulizoanza...
9 years ago
Habarileo25 Oct
Shein aahidi uchaguzi huru na wa haki
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein amesisitiza kuwa uchaguzi unaofanyika leo utakuwa huru, haki na wenye utulivu na kuwahakikishia washirika wa maendeleo, likiwemo Shirika la Misaada la Uingereza (DFID) kuwa Zanzibar itaendelea kuwa na amani kwani ndio msingi wa maendeleo.
9 years ago
Habarileo23 Sep
Shein aahidi kupunguza uagizaji chakula nje
MGOMBEA urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Ali Mohamed Shein amesema atahakikisha Zanzibar inajitosheleza kwa chakula na kupunguza uagizaji wa chakula nje ya nchi, kwa kuimarisha kilimo cha umwagiliaji mpunga mashambani.
10 years ago
Habarileo19 Jun
Shein aahidi makubwa akishinda tena 2015
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohammed Shein amesema mafanikio ya utekelezaji wa ilani ya CCM kwa asilimia 90 ndiyo uliomsukuma kuchukua fomu ya kugombea tena urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM.
5 years ago
MichuziRAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AONGOZA DUA YA KUMUOMBEA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR MAREHEMU MZEE ABEID AMANI KARUME ILIOFANYIKA VIWANJA VYA AFISI KUU YA CCM ZANZIBAR