Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shein aahidi kupunguza uagizaji chakula nje

MGOMBEA urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Ali Mohamed Shein amesema atahakikisha Zanzibar inajitosheleza kwa chakula na kupunguza uagizaji wa chakula nje ya nchi, kwa kuimarisha kilimo cha umwagiliaji mpunga mashambani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WABUNGE WAUNGA MKONO ZUIO LA SERIKALI UAGIZAJI VIFAA VYA UMEME NJE YA NCHI


Veronica Simba – Dar es Salaam
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imesema inaendelea kuunga mkono zuio la serikali kwa wakandarasi wa miradi mbalimbali ya umeme nchini kuagiza vifaa husika nje ya nchi.Akizungumza jijini Dar es Salaam, Machi 14 mwaka huu, baada ya Kamati hiyo kufanya ziara katika viwanda vya Europe Inc. Industries Ltd (Tropical) na Kilimanjaro Cables (T) Ltd (Africab), vinavyozalisha nyaya za umeme na mashine umba (transfoma), Mwenyekiti wa Kamati husika, Dunstan...

 

9 years ago

Mwananchi

Mghwira aahidi kusimamia mapato ya kodi kupunguza umasikini

Mgombea urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Anna Mghwira, amesema kuwa endapo wananchi watampa ridhaa ya kuingia madarakani atahakikisha anasimamia ukusanyaji kodi ili kupunguza gharama za maisha na kupambana na umasikini.

 

10 years ago

BBCSwahili

WFP kupunguza chakula cha wakimbizi

Shirika la Umoja wa Mataifa linalosimamia chakula WFP limesema kuwa litapunguza kiwango cha chakula kwa takriban wakimbizi nusu milioni kazkazini mwa Kenya kutokana na ukosefu wa ufadhili.

 

10 years ago

BBCSwahili

WFP kupunguza msaada wa chakula Uganda

Shirika la chakula duniani WFP limetangaza kuwa litapunguza kwa nusu kiwango chake cha msaada wa chakula nchini Uganda

 

9 years ago

Mwananchi

Mghwira aahidi Kigoma kuwa ghala la chakula

Mgombea wa urais wa ACT-Wazalendo, Anna Mghwira amesema endapo akipewa ridhaa ya kuwa rais wa awamu ya tano atahakikisha Mkoa wa Kigoma unakuwa ghala la chakula.

 

5 years ago

CCM Blog

KIWANDA CHA VIFAA TIBA SIMIYU KUIPUNGUZIA MSD UAGIZAJI WA VIFAA TIBA NJE YA NCHI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji, Mhe. ngella Kairuki akiteta jambo katika Mkutano wa mashauriano kati ya Serikali, Wawekezaji na Wafanyabiashara mkoani Simiyu iliofanyika Februari 25, 2020 Mjini Bariadi. Baadhi ya Wafanyabiashara wa Mkoa wa Simiyu wakifuatilia hoja na maelezo kutoka kwa Viongozi wa Serikali wakati wa Mkutano wa mashauriano kati ya Serikali, Wawekezaji na Wafanyabiashara mkoani Simiyu uliofanyika Februari 25, 2020 Mjini Bariadi. Mwenyekiti wa Chama cha...

 

5 years ago

Michuzi

SHILOLE AAHIDI KUPUNGUZA VIFO VYA UZAZI 2020 KUPITIA JUKWAA LA TUNAWEZA


Na Khadija Seif, Michuzi tv
MSANII wa Bongofleva Zuwena Mohammed a.k.a Shilole (pichani) amejipanga kutengeneza baba Bora 2020 na kupunguza vifo vya wakina mama kupitia jukwaa la "Tunaweza.
Akizungumza na waandishi wahabari jijini Dar es salaam wakati akitangazwa rasmi kuwa balozi wa jukwaa la "Tunaweza" kupitia taasisi ya Smart Generation inayolenga kutoa elimu pamoja na kubadili mitazamo mibaya kwa vijana pamoja na jamii kwa ujumla Shilole amesema akiwa kama mama yupo tayari kupunguza idadi...

 

10 years ago

Habarileo

Shein aahidi ushindi wa kishindo Zanzibar

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein.MGOMBEA Urais wa CCM kwa Tanzania Zanzibar katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, Dk Ali Mohammed Shein amesema anao uwezo wa kukipatia chama chake ushindi wa kishindo.

 

9 years ago

Mtanzania

Dk. Shein aahidi kuboresha elimu Pemba

imageNa Esther Mbussi, Zanzibar

MGOMBEA urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Ali Mohamed Shein, ameahidi kutoa kompyuta na kuongeza idadi ya walimu wa masomo ya sayansi katika shule za sekondari Kusini Unguja.

Akizungumza katika mkutano wa kampeni eneo la Paje, Kusini Unguja Dk. Shein alisema kuongeza idadi ya walimu wa masomo ya sayansi kutasaidia kuongeza ufaulu wa masomo hayo.

“Serikali itaboresha sekta ya elimu kwa kujenga shule na tayari tunamalizia shule 22 tulizoanza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani