Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk. Shein aahidi kuboresha elimu Pemba

imageNa Esther Mbussi, Zanzibar

MGOMBEA urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Ali Mohamed Shein, ameahidi kutoa kompyuta na kuongeza idadi ya walimu wa masomo ya sayansi katika shule za sekondari Kusini Unguja.

Akizungumza katika mkutano wa kampeni eneo la Paje, Kusini Unguja Dk. Shein alisema kuongeza idadi ya walimu wa masomo ya sayansi kutasaidia kuongeza ufaulu wa masomo hayo.

“Serikali itaboresha sekta ya elimu kwa kujenga shule na tayari tunamalizia shule 22 tulizoanza...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AWASILI ZANZIBAR AKITOKEA PEMBA BAADA YA KUMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU TATU PEMBA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akitokea Kisiwani Pemba baada ya kumaliza ziara yake ya siku tatu.(Picha na Ikulu)

 

10 years ago

Mwananchi

Kampeni za elimu bure zitasaidia kuboresha elimu yetu?

Kipindi cha kampeni za uchaguzi zinapokaribia, ni wakati muhimu sana kwa wananchi kuongeza umakini katika kusikiliza na kuamua ipi ni hoja au ahadi ya msingi kwa mustakbali wa nchi yetu.

 

9 years ago

Habarileo

Lowassa aahidi kuboresha maisha

MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa amesisitiza akichaguliwa kuwa rais, ataboresha maisha ya wananchi ikiwemo kuwezesha kupata milo mitatu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ridhiwani aahidi kuboresha barabara

MGOMBEA ubunge wa Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Ridhiwani Kikwete, amesema endapo atachaguliwa kuliongoza jimbo hilo atahakikisha anaboresha miundonbinu ya barabara. Ridhiwani alitoa kauli hiyo juzi wakati akihutubia...

 

9 years ago

Mwananchi

Magufuli aahidi kuboresha huduma za afya

Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli amesema akichaguliwa kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atahakikisha huduma za afya zinapatikana  sambamba  na kuboresha mfuko wa bima ya afya ili kila mwananchi  apate huduma bora na inayostaili.

 

11 years ago

Habarileo

Mgombea wa Chadema aahidi kuboresha kilimo

MGOMBEA ubunge katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Grace Tendega amesema atakapochaguliwa, moja ya vipaumbele vyake vikubwa, itakuwa ni kuboresha sekta ya Kilimo kwa kuhakikisha pembejeo bora za kilimo, zinapatikana kwa wakati.

 

9 years ago

GPL

DK MAGUFULI AAHIDI KUBORESHA MAISHA YA WANAJESHI‏

 Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi kwa wananchi katika Jimbo la Bumbuli mkoani Tanga jana  wakati wa mkutano wa kampeni za CCM.
 Sehemu ya umati wa wananchi ulifurika kwenye mkutano huo wa kampeni katika Jimbo la Bumbuli…

 

10 years ago

GPL

MEMBE ATANGAZA NIA YA URAIS, AAHIDI KUPAMBANA NA RUSHWA, KUBORESHA MICHEZO

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, hivi punde ametangaza nia ya kuwania urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) akiwa Viwanja vya CCM mkoani Lindi. Katika hotuba yake, Mhe. Membe amesema akipata fursa ya kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atapambana na rushwa, kuboresha elimu, afya, uchumi, michezo na sanaa, kuimarisha ulinzi na kusimamia muungano. Kauli mbiu ya kiongozi huyo ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani