Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgombea wa Chadema aahidi kuboresha kilimo

MGOMBEA ubunge katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Grace Tendega amesema atakapochaguliwa, moja ya vipaumbele vyake vikubwa, itakuwa ni kuboresha sekta ya Kilimo kwa kuhakikisha pembejeo bora za kilimo, zinapatikana kwa wakati.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mgombea udiwani CHADEMA aahidi neema Magomeni

MGOMBEA udiwani wa Kata ya Magomeni, Wilaya ya Bagamoyo, Pwani ameahidi kuwaondolea kero za kijamii zinazowakabili wakazi wa eneo hilo ili kujenga jamii isiyo na manung’uniko. Akizungumza na wananchi wa...

 

10 years ago

Habarileo

Lowassa aahidi kuboresha maisha

MGOMBEA urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa amesisitiza akichaguliwa kuwa rais, ataboresha maisha ya wananchi ikiwemo kuwezesha kupata milo mitatu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ridhiwani aahidi kuboresha barabara

MGOMBEA ubunge wa Chalinze kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Ridhiwani Kikwete, amesema endapo atachaguliwa kuliongoza jimbo hilo atahakikisha anaboresha miundonbinu ya barabara. Ridhiwani alitoa kauli hiyo juzi wakati akihutubia...

 

10 years ago

Mwananchi

Magufuli aahidi kuboresha huduma za afya

Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli amesema akichaguliwa kuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atahakikisha huduma za afya zinapatikana  sambamba  na kuboresha mfuko wa bima ya afya ili kila mwananchi  apate huduma bora na inayostaili.

 

10 years ago

Mtanzania

Dk. Shein aahidi kuboresha elimu Pemba

imageNa Esther Mbussi, Zanzibar

MGOMBEA urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Ali Mohamed Shein, ameahidi kutoa kompyuta na kuongeza idadi ya walimu wa masomo ya sayansi katika shule za sekondari Kusini Unguja.

Akizungumza katika mkutano wa kampeni eneo la Paje, Kusini Unguja Dk. Shein alisema kuongeza idadi ya walimu wa masomo ya sayansi kutasaidia kuongeza ufaulu wa masomo hayo.

“Serikali itaboresha sekta ya elimu kwa kujenga shule na tayari tunamalizia shule 22 tulizoanza...

 

10 years ago

GPL

DK MAGUFULI AAHIDI KUBORESHA MAISHA YA WANAJESHI‏

 Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa  Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi kwa wananchi katika Jimbo la Bumbuli mkoani Tanga jana  wakati wa mkutano wa kampeni za CCM.
 Sehemu ya umati wa wananchi ulifurika kwenye mkutano huo wa kampeni katika Jimbo la Bumbuli…

 

10 years ago

Mzalendo Zanzibar

M.Seif aahidi mageuzi ya kilimo

Zanzibar: Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi (CUF),Maalim Seif Sharif Hamad, amesema chini ya uongozi wake atahakikisha anamjengea uwezo mkulima, kwa lengo la kumwezesha kuinuka kiuchumi.Maalim Seif alisema, atahakikisha wakulima wa Zanzibar wanalima kilimo […]

The post M.Seif aahidi mageuzi ya kilimo appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

BBCSwahili

Maonesho nanenane kuboresha kilimo TZ?

Mkulima ananufaika vipi na maonesho ya kilimo?

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani