Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shein aahidi makubwa akishinda tena 2015

Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein.RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohammed Shein amesema mafanikio ya utekelezaji wa ilani ya CCM kwa asilimia 90 ndiyo uliomsukuma kuchukua fomu ya kugombea tena urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Dk Magufuli akishinda Urais aahidi Serikali kujenga reli kutoka Mtwara hadii Mbamba Bay Ruvuma, kupunguza bei ya vifaa vya ujenzi

 Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa kampeni wa CCM kumnadi mgombea urais Dk John Magufuli  wilayani Masasi jana. Dk Magufuli amesema kuwa CCM ikishinda Serikali  itajenga Reli kuanzia Mtwara hadi Mbamba Bay Ruvuma.

 Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi katika mkutano wa kampeni mjini Masasi, mkoani Mtwara jana.

 Mfuasi wa CCM  akiwa amejichora usoni huku kidevuni akiwa aqmeandika jina la Mgombea Urais wa Tanzania kuptia CCM, Dk Magufuli.

 Wananchi...

 

9 years ago

Vijimambo

DK MAGUFULI AKISHINDA URAIS AAHIDI SERIKALI KUJENGA RELI KUTOKA MTWARA HADI MBAMBA BAY RUVUMA, KUPUNGUZA BEI YA VIFAA VYA UJENZI

 Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa kampeni wa CCM kumnadi mgombea urais Dk John Magufuli  wilayani Masasi leo. Dk Magufuli amesema kuwa CCM ikishinda Serikali  itajenga Reli kuanzia Mtwara hadi Mbamba Bay Ruvuma  Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akijinadi katika mkutano wa kampeni mjini Masasi, mkoani Mtwara leo. Mfuasi wa CCM  akiwa amejichora usoni huku kidevuni akiwa aqmeandika jina la Mgombea Urais wa Tanzania kuptia CCM, Dk Magufuli.
 Wananchi...

 

9 years ago

Habarileo

Samia aahidi makubwa wa bodaboda

MGOMBEA mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ameahidi kuanzisha madawati maalumu katika Manispaa za Dar es Salaam kwa ajili ya kusajili madereva wa bodaboda na bajaji, iwapo chama chake kitachaguliwa katika uchaguzi mkuu Oktoba 25, mwaka huu.

 

10 years ago

Mwananchi

Mgambia aahidi makubwa Simba

Kiungo mshambuliaji mpya wa Simba, Omary Mboom amesema kuwa hatofanya makosa iwapo atasajiliwa na badala yake atahakikisha anawapa raha wapenzi na mashabiki wa timu hiyo kongwe nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

Kiiza aahidi makubwa Yanga

>Mshambuliaji wa Yanga, Hamis Kiiza amejiapiza kuwa atahakikisha mwaka 2014 anavaa medali nyingi kadri inavyowezekana akiwa na kikosi cha timu hiyo.

 

10 years ago

Mtanzania

CAG mpya aahidi makubwa

Profesa Mussa Juma Assad

Profesa Mussa Juma Assad

NA KULWA KAREDIA, DAR ES SALAAM

RAIS Jakaya Kikwete, amemteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari Dar es Salaam jana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, imesema uteuzi wa Assad ulianza Novemba 5, mwaka huu.

Akizungumza na MTANZANIA Dar es Salaam jana, Profesa Assad alisema hatamwangusha Rais Kikwete na Watanzania kutokana na imani iliyoonyeshwa kwake.

“Sitamwangusha...

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli aahidi makubwa Moshi

MGOMBEA urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli, jana aliuteka mji wa Moshi mkoa wa Kilimanjaro, baada ya kuvuta umati mkubwa wa watu aliowakuna kwa hotuba yake iliyosheheni ahadi nzito, zikiwamo za kuondoa kero zinazowakabili na pia kuahidi kupaisha uchumi wa mkoa kwa ujumla.

 

11 years ago

GPL

Mbelgiji aahidi kufanya makubwa Yanga

Kocha wa zamani wa AFC Leopards, Luc Eymael. Na Mwandishi Wetu
KOCHA wa zamani wa AFC Leopards, Luc Eymael, amesema kuwa mazungumzo yake na Yanga bado yanaendelea na anaamini kuwa akipata timu hiyo ataifanyia makubwa.
Eymael aliomba kuifudisha Yanga ambayo hivi karibuni ilimtimua aliyekuwa kocha wake mkuu…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani