CAG mpya aahidi makubwa
Profesa Mussa Juma Assad
NA KULWA KAREDIA, DAR ES SALAAM
RAIS Jakaya Kikwete, amemteua Profesa Mussa Juma Assad kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).
Taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari Dar es Salaam jana na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, imesema uteuzi wa Assad ulianza Novemba 5, mwaka huu.
Akizungumza na MTANZANIA Dar es Salaam jana, Profesa Assad alisema hatamwangusha Rais Kikwete na Watanzania kutokana na imani iliyoonyeshwa kwake.
“Sitamwangusha...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLQ-CHILLAH AAHIDI MAKUBWA UJIO WAKE MPYA!
10 years ago
Habarileo25 Jun
CAG aahidi kuing’arisha Tanzania kimataifa
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad ambaye pia ni mjumbe wa Bodi ya Ukaguzi ya Umoja wa Mataifa (UNBoA) amesema Tanzania itaendelea kuwa kinara katika shughuli za ukaguzi wa Umoja wa Mataifa ili kuweza kuiletea nchi sifa katika eneo la ukaguzi wa hesabu za umoja huo.
10 years ago
Mwananchi03 Dec
Mgambia aahidi makubwa Simba
11 years ago
Mwananchi02 Jan
Kiiza aahidi makubwa Yanga
9 years ago
Habarileo05 Sep
Samia aahidi makubwa wa bodaboda
MGOMBEA mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan ameahidi kuanzisha madawati maalumu katika Manispaa za Dar es Salaam kwa ajili ya kusajili madereva wa bodaboda na bajaji, iwapo chama chake kitachaguliwa katika uchaguzi mkuu Oktoba 25, mwaka huu.
9 years ago
Habarileo08 Oct
Magufuli aahidi makubwa Moshi
MGOMBEA urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dk John Magufuli, jana aliuteka mji wa Moshi mkoa wa Kilimanjaro, baada ya kuvuta umati mkubwa wa watu aliowakuna kwa hotuba yake iliyosheheni ahadi nzito, zikiwamo za kuondoa kero zinazowakabili na pia kuahidi kupaisha uchumi wa mkoa kwa ujumla.
10 years ago
Mtanzania22 Dec
Kocha Pluijm aahidi makubwa Yanga
NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM,
KOCHA mpya wa timu ya Yanga, Hans van Pluijm, ameanza kwa mbwembwe kibarua chake baada ya kuahidi makubwa, huku akidai atahakikisha anarudisha soka la kuvutia na la ushindi ili kuwapa raha wapenzi wa timu hiyo.
Pluijm amerejeshwa kwenye timu hiyo aliyoinoa msimu uliopita baada ya kutimuliwa kwa makocha, Marcio Maximo na msaidizi wake, Leonardo Neiva, ambao wote ni kutoka Brazil.
Mholanzi huyo juzi alianza kibarua cha kuinoa timu hiyo kwenye Uwanja wa Shule...
11 years ago
Tanzania Daima25 Jun
Alfred Elia aahidi makubwa Simba
MGOMBEA ujumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba, Alfred Elia, amewaomba wanachama wa klabu hiyo kumchagua ili aweze kuleta maendeleo hasa kupitia jina na nembo ya klabu hiyo. Elia ni...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/NEC3sUsJox5TUGCs8p7*GGoraBuR3oBW-dVyKA6rAjbT1YPeVyR2WHwcmxNK0weu1wCaYMQUR15X2Hc5M8Uhl2-uE5emi0X3/mbelijiji.jpg?width=650)
Mbelgiji aahidi kufanya makubwa Yanga