Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Fid Q, Young Killer kupokewa kifalme Mwanza

WASANII wa muziki wa hip hop wanaowakilisha Mwanza ‘Rock City’, Farid Kubanda ‘Fid Q’ na Erick Msodoki ‘Young Killer’, wanatarajiwa kupokelewa kifalme mkoani humo baada ya kuchukua tuzo za muziki...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Picha: Fid Q na Young Killer waingia mtaani kushoot video ya ‘13’ muongozaji ni..

Wakati video ya ‘Umebadilika’ ikiwa njia kutoka, Young anaandaa silaha nyingine tena aliyomshirikisha kaka yake kimuziki, Fareed Kubanda aka Fid Q. Japo wawili hao hawajasema chochote kuhusiana na video hiyo, inaonekana kuwa inaongozwa na Nisher. Balaa linakuja!! Wakandarasi Nisher na Young Killer wakijadiliana kitu

 

10 years ago

Bongo5

Nisher: Tumekasirika sana round hii, aongoza video ya ’13’ ya Young Killer f/ Fid Q

Baada ya Hefemi kupokea pongezi nyingi kwa video ya ‘3 Chafu’ ya Professor Jay na Adam Juma kupongezwa kwa kazi nzuri aliyoifanya kwenye video ya ‘Pacha Wangu’ ya Rich Mavoko, mshindi wa tuzo za watu, Nisher anatarajia kutafuta point zake tatu kwa kushoot video ya wimbo wa Young Killer aliomshirikisha Fid Q ’13’. Fid aliandika […]

 

10 years ago

Bongo5

Young Killer arekodi wimbo na Fid Q , aupa jina la tarehe yao ya kuzaliwa ’13’, umefanywa na maproducer 4 akiwemo Majani

Rapper kutoka Rock City, Young killer Msodoki wiki hii amerekodi wimbo mpya ambao amemshirikisha kaka yake rapper Fareed Kubanda aka Fid Q, ambaye pia anatoka Mwanza. Msodoki amezungumza na Bongo 5 kuhusu wimbo huo, “Ni project mpya kabisa kali naweza kusema kwasababu imekutanisha wakali wawili halafu kutoka mji mmoja”, alisema Killer. Amesema kuwa jina la […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Young Killer anusurika kichura Mwanza

KINDA wa muziki wa kizazi kipya nchini kutoka Mwanza, Erick Msodoki ‘Young Killer’, amenusurika kurushwa kichura na wanajeshi baada ya kukatiza katika kambi yao akiwa amevaa pensi inayofanana na sare...

 

9 years ago

Bongo5

Young Killer ajiunga na kundi la Mtu Chee, achukua nafasi ya Young Dee aliyejitoa

Baada kuwa kimya kwa takribani miaka miwili, Kundi la Mtu Chee lililokuwa linaundwa na rappers watatu, Ibrahim Mandingo a.k.a Country Boy, David Genzi a.k.a Young Dee pamoja na Boniventure Kabogo a.k.a Stamina linarudi rasmi likiwa na mabadiliko. Country Boy Member na mmoja wa waanzilishi wa kundi hilo Country Boy amesema kuwa Mtu Chee imepata member […]

 

9 years ago

Bongo5

Stamina aondoa utata kuhusu Young Killer kuziba nafasi ya Young D kwenye Mtu Chee

mtu chee2Kulikuwa na utata kuhusu member mpya wa kundi la Mtu Chee ambalo hapo mwanzo liliundwa na rappers watatu, Stamina, Young D na Country Boy. Baada ya taarifa za Young Dee kuondoka kwenye kundi hilo, kulikuwa na taarifa kuwa Young Killer ambaye ameshiriki kwenye wimbo mpya wa kundi hilo, ‘Mtu Tatu’, kuwa ndio member mpya wa […]

 

9 years ago

Bongo5

Young Killer atoa ufafanuzi kuhusu kama kweli amejiunga rasmi Mtu Chee, na kama ana beef na Young Dee baada ya kum-unfollow Instagram

Wiki iliyopita mmoja wa waanzilishi wa kundi la Mtu Chee, Country Boy alisema kuwa Young Dee amejiengua kwenye kundi hilo na nafasi yake imechukuliwa na Young Killer. Wiki hii kuna cover imeanza kusambazwa ya ngoma mpya ya Mtu Chee ambayo kweli wanaonekana Country Boy, Stamina na Young Killer. Bongo5 imemtafuta Young Killer kutaka kufahamu kuhusu […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani