Watafiti watafsiri lugha wanayotumia Sokwe
Watafiti wanasema kuwa wameweza kutafsiri maana ya ishara za mawasiliano zinazotumiwa na Sokwe wanaoishi msituni
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo502 Dec
Watafiti wagundua hili kuhusiana na lugha ya kwanza uliyojifunza ukiwa mtoto
![sloppy-handwriting-2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/sloppy-handwriting-2-300x194.jpg)
Haijalishi kama utaweza kuiongea kwa ufasaha au hukumbuki hata neno moja, lugha ya kwanza uliyojifunza ukiwa mtoto imeshaubadili ubongo wako kiasi ambacho hakuwezi kuwa na mabadiliko tena.
Watafiti wa nchini Canada wamebaini kuwa kusikia lugha ya kwanza enzi za utoto kunaathiri ubongo wa mtu na jinsi anavyokabiliana na lugha nyingine miaka mingi baadaye.
Hii hutokea hata kwa wale ambao hawajazungumza lugha yao ya kwanza katika maisha yao yote na hata kwa wale wanaomini kuwa wameisahau...
10 years ago
Mwananchi06 Jun
Kuthamini lugha lugha ya Kiswahili
10 years ago
BBCSwahili01 Oct
Sokwe wabunifu wa Uganda
11 years ago
BBCSwahili18 Apr
10 years ago
BBCSwahili10 Jun
Sokwe ni walevi Hodari :Utafiti
10 years ago
BBCSwahili03 Jun
Sokwe hawajambo kwa upishi wa vyakula
11 years ago
BBCSwahili01 Jul
Sokwe Rwanda kupewa majina leo!
9 years ago
BBCSwahili24 Nov
Unaweza kuigiza sokwe? Kuna kazi