Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sokwe hawajambo kwa upishi wa vyakula

Sokwe ni mnyama ambaye anasemekana kuwa makini katika shughuli kama wanavyofanya binadamu, mathalani upishi.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

PSPF yagawa vyakula kwa watoto

MFUKO wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) wakishirikiana na Ofisi ya Ustawi wa Jamii wilayani Bagamoyo, Pwani wamekabidhi vyakula katika kituo cha watoto yatima cha Amani kilichopo eneo la...

 

10 years ago

Habarileo

Mungai atoa milioni 2/- kwa yatima za vyakula, vinywaji

MFANYABIASHARA maarufu wa mjini Iringa, Geofrey Mungai, amewawezesha watoto yatima wa kituo cha Daily Bread Life Children’s Home kusherehekea vizuri sikukuu ya Krismasi na kuukaribisha Mwaka Mpya wa 2015 kwa kuchangia zaidi ya Sh milioni 2.

 

10 years ago

Michuzi

ZANTEL YATOA MSAADA WA VYAKULA KWA WAZEE Z'BAR

 MKURUGENZI wa Biashara wa Kampuni ya simu ya Zantel ofisi ya Zanzibar, Mohammed Mussa akizungumza katika hafla ya kukabidhi misaada ya vyakula iliyotolewa na kampuni hiyo kwa wazee mbali mbali wa Zanzibar. NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Uwezeshaji, Ustawi wa Jamii, Vijana, Wanawake na Watoto, Msham Juma Khamis akihutubia wazee mbali mbali waliokua katika hafla ya kukabidhiwa msaada wa vyakula vilivyotolewa na kampuni hiyo. Kulia Mkurugenzi wa Biashara wa kampuni ya simu ya ZANTEL, Mohammed...

 

10 years ago

Mwananchi

VYAKULA NA MAGONJWA: Hadhari kwa watumiaji wa samaki, chipsi

>Kama moja ya njia ya kupunguza gharama za matumizi, watu wengi wanatumia mafuta yaleyale zaidi ya mara moja kukaangia vyakula mbalimbali.

 

11 years ago

BBCSwahili

Upishi si wanawake tu!

Chef Ali L'artiste amezusha msisimko katika kazi ya upishi na maandalizi, kwa mtindo wake unaoashiria Afrika.

 

10 years ago

BBCSwahili

Sokwe wabunifu wa Uganda

Sokwe wamanaswa kwa video wakitengeza kifaa cha kunywa maji kwa kutumia majani

 

10 years ago

Dewji Blog

Zantel yatoa msaada wa vyakula kwa jumuiya ya wazee wa Zanzibar

3

NAIBU Katibu Mkuu, Wizara ya Uwezeshaji, Ustawi wa Jamii , Vijana , Wanawake na Watoto, Nd. Msham Juma Khamis akimkabidhi msaada , Pili Ahmada wakati wa makabidhiano ya msaada wa vyakula uliotolewa na Kampuni ya simu ya Zantel kwa wazee mbali mbali wa Zanzibar, kulia Mkurugenzi wa Biashara wa Zantel Zanzibar, makabidhiano hayo yalifanyika jana Kibanda maiti.

1

Naibu Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazee Zanzibar (JUWAZA), Mwadini Kutenga akiwakaribisha wageni wakati wa shughuli ya makabidhino ya...

 

10 years ago

Mwananchi

Nani anajali matumizi ya vyakula bora kwa wanafunzi shuleni?

Sanura Bushiri (jina sio lake) anasoma darasa la nne katika Shule ya Msingi ya Majani ya Chai iliyopo Manispaa ya Ilala mkoani Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani