ZANTEL YATOA MSAADA WA VYAKULA KWA WAZEE Z'BAR
MKURUGENZI wa Biashara wa Kampuni ya simu ya Zantel ofisi ya Zanzibar, Mohammed Mussa akizungumza katika hafla ya kukabidhi misaada ya vyakula iliyotolewa na kampuni hiyo kwa wazee mbali mbali wa Zanzibar.
NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Uwezeshaji, Ustawi wa Jamii, Vijana, Wanawake na Watoto, Msham Juma Khamis akihutubia wazee mbali mbali waliokua katika hafla ya kukabidhiwa msaada wa vyakula vilivyotolewa na kampuni hiyo. Kulia Mkurugenzi wa Biashara wa kampuni ya simu ya ZANTEL, Mohammed...
Michuzi