Sokwe Rwanda kupewa majina leo!
Sherehe za kuwapa majina Sokwe wa milimani zinatarajiwa kufanyika nchini Rwanda kwa minajili ya kuhifadhi viumbe hao adimu duniani
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi18 Feb
Wajumbe kupewa mwongozo leo
Kikao cha kwanza cha Bunge Maalumu la Katiba kinaanza leo mchana mjini hapa na kitaongozwa na Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Dk Thomas Kashililah na Katibu wa Baraza la Wawakilishi, Yahya Khamis Hamad.
10 years ago
GPLJK KUPEWA ‘KATIBA MPYA’ LEO
Stori:Â Mwandishi Wetu
RAIS Jakaya Kikwete, leo atapokea ‘Katiba Mpya’ inayopendekezwa kutoka kwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum, Samuel Sitta, katika tukio linalotarajiwa kufanyika katika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma. Rais Jakaya Kikwete, Bunge hilo maalum, lilihitimisha kazi yake ngumu ya kujadili rasimu ya katiba mpya iliyowasilishwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba...
10 years ago
MichuziJK mwapisha balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda, apokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi mpya wa Rwanda nchini leo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha balozi mpya wa Tanzania nchini Rwanda Mhe. Ali li Iddi Siwa katika hafla iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati za utambulisho kutoka kwa balozi mpya wa Rwanda nchini Tanzania Mhe. Eugene Segore Kayihura katika hafla iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo.
11 years ago
Michuzinews alert: Majina ya wajumbe wa Bunge maalumu la katiba yatangazwa leo
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Bw. Florence Turuka akitangaza majina ya wajumbe wa Bunge Maalum la katiba jioni hii katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Mawasiliano Ikulu jioni hii jijini Dar es salaam.
Wanahabari wakimsikiliza Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu na Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi Mhe. Florence Turuka akitangaza majina ya wajumbe wa Bunge Maalum la katiba yakitangazwa jioni hii katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Mawasiliano...
9 years ago
MichuziDaktari Bingwa Mshauri maradhi ya Moyo kutoka Tanzania kupewa Tuzo ya Kimataifa nchini Uingereza Leo
Daktari wa Kwanza Bingwa Mshauri wa Maradhi ya Moyo kutoka Hospitali ya Rufaa ya Morogoro nchini Tanzania Dr.Harun Elmada Nyagori azawadiwa Tuzo ya Kimataifa na kutambuliwa na Baraza la Madaktari Bingwa wa shirikisho la Nchi za Ulaya(European Society of Cardiology) -London Uingereza'Akipewa hiyo Tuzo ya Heshima na Rais wa Shirikisho Hilo Prof.Pinto alimwelezea imekuwa Historia kubwa kumpata Daktari aliyewakilisha Mada za Utafiti wa Maradhi ya Moyo kutoka Tanzania na hawajawahi kumpata...
10 years ago
Dewji Blog18 Feb
Majina ya wakuu wa wilaya wapya na vituo vyao kama yalivyotangazwa na Mh. Waziri Mkuu Mizengo Pinda leo
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Mizengo Pinda.
ORODHA YA MA-DC 18.02.2015.doc by moblog
10 years ago
BBCSwahili01 Oct
Sokwe wabunifu wa Uganda
Sokwe wamanaswa kwa video wakitengeza kifaa cha kunywa maji kwa kutumia majani
10 years ago
Michuzi07 Mar
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania