Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Majina ya wakuu wa wilaya wapya na vituo vyao kama yalivyotangazwa na Mh. Waziri Mkuu Mizengo Pinda leo

Mizengo-Pinda

 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Mizengo Pinda.

ORODHA YA MA-DC 18.02.2015.doc by moblog

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU MHE. MIZENGO PINDA ATEMBELEA BANDA LA HALMASHAURI YA WILAYA YA SUMBAWANGA KATIKA MAADHIMISHO YA NANENANE NYANDA ZA JUU KUSINI JIJINI MBEYA LEO

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda akisalimiana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga Ndugu Adam Misana alipotembelea banda la Halmashauri ya Wilaya hiyo leo tarehe 02/08/2014 katika maonyesho ya wakulima Nanenane nyanda za juu kusini Jijini Mbeya ambapo alipokelewa na viongozi waandamizi wa Serikali ya Mkoa wa Rukwa wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa huo Eng. Stella Manyanya (Pichani Kulia).

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo...

 

9 years ago

Dewji Blog

JK ateua wakuu wa wilaya wapya 13 na kuwahamisha vituo vya kazi wengine saba

Jakaya-Kikwete1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewateua wakuu wa wilaya wapya 13 na kuwahamisha vituo vya kazi wengine saba.

Wakuu wa wilaya 13 walioteuliwa ni Shaaban Athuman Ntanambe ambaye anakuwa Mkuu wa Wilaya ya Chato, Mkoa wa Kagera; Thabisa Mwalapwa ambaye anakuwa Mkuu wa Wilaya ya Hanang, Mkoa wa Manyara;  Richard Kasesera ambaye anakuwa Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Mkoa wa Iringa, Ruth Msafiri ambaye anakuwa Mkuu wa Wilaya ya Kibondo, Mkoa wa Kigoma na...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA NDANI YA BUNGE MAALUM LA KATIBA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd, Bungeni Mjini Dodoma, leo Machi 10,2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd (kushoto), Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Stephen Wasira (kushoto)  na Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba (kulia) wakijadili jambo… ...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AFUNGUA MKUTANO WA MAWAZIRI WA MAZINGIRA JIJINI DAR LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua Mkutano wa Pamoja wa Mawaziri wa Mambo ya Nje na Mazingira wa Kamati ya Mabadiliko ya TABIANCHI kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam August 28, 2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya, Amina Mohamed (katikati) na Waziri wa Mazingira wa Msumbiji, Ana Paulo Chichava baada ya kufungua Mkutano wa Pamoja wa Mawaziri wa Mawaziri wa Mambo ya Nje na Mazingira wa Kamati ya...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU, MIZENGO PINDA AFUNGUA MKUTANO WA TANO WA WADAU WA NSSF JIJINI ARUSHA LEO


Waziri Mkuu,Mh. Mizengo Pinda akitoa hotuba yake ya Ufunguzi wa Mkutano wa tano wa Wadau wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) ulioanza leo kwenye ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa AICC,jijini Arusha.Mh. Pinda awewasihi wasomi nchini pamoja na watanzania  kuacha fikra ya kusubiri kuajiriwa mara wanapomaliza vyuo badala yake wajiajiri wenyewe ili waweze kukabiliana na changamoto za maisha.
Waziri wa Kazi na Ajira, Mh. Gaudencia Kabaka akizungumza machache kabla ya kumkaribisha mgeni...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AFUNGUA SEMINA YA JUMUIYA WAZAZI NGAZI YA TAIFA,MKOANI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia wakati wa ufunguzi semina ya viongozi na watendaji wa Jumuiya ya Wazazi Ngazi ya Taifa, mikoa na Wilaya nchini iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM mjini Dodoma Februari 22, 2014wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipofungua semiana hiyo. Washiriki wa Semina ya viongozi na watendaji wa Jumuiya ya Wazazi Ngazi ya Taifa,mikoa na Wilaya nchini iliyofanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM...

 

10 years ago

Vijimambo

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu, William Lukuvi (kushoto) wakiteta na Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe, Bungeni mjini Dodoma Novemba 29, 2014.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

 

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Majaliwa amtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda!

IMGS2612

Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majliwa  akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda wakati alipomtembelea nyumbani kwake katika kijiji cha Zuzu, nje kidogo ya mji wa Dodoma Novemba 21, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) IMGS2602   Mke wa Waziri  Mkuu, Mama Mary Majaliwa  (kushoto) akikaribishwa na mke wa Waziri Mkuu, Mstaafu Mama Tunu Pinda wakati alipowasili nyumbani kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda katika kijiji cha  Zuzu nje kidogo ya mji wa Dodoma kwa mazungumzo Novemba 21, 2015  ....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani