Sitta azidi kupingwa, adaiwa kuhadaa watanzania
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta.
Na Mwandishi wetu
Mwinjilisti wa Kanisa la TAG liliko Mbagala wilayani Temeke jijini Dar es Salaam, Medad Kyabashasa, amesema kitendo cha Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta kuunda Kamati ya maridhiano ni kitendo cha kuwahadaa Watanzania.
Hadaa hiyo ni yakutaka kuwafanya wajumbe wanaopigania Katiba ya Wananchi (Ukawa), ambao wametoka nje ya bunge hilo kupinga ubabe unaofanywa na wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi, waonekane ni...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima13 Oct
Sitta azidi kuumbuka
ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba (BMK), Samuel Sitta, ameendelea kubanwa baada ya Jukwaa la Katiba (Jukata), kudai kura nyingine iliyopigwa kwa ajili kuhalalisha theluthi mbili Zanzibar ilichakachuliwa kutokea...
11 years ago
Mtanzania08 Aug
Sitta azidi kubanwa
![Samuel Sitta](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Samuel-Sitta.jpg)
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta
NA WAANDISHI WETU
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, amezidi kuandamwa baada ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kumtaka kusitisha mara moja mchakato wa Katiba unaoendelea.
Kituo hicho, kimesema Bunge hilo linapaswa kusitishwa hadi muafaka utakapofikiwa kati ya makundi mawili yanayosigana.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa LHRC,...
11 years ago
Mwananchi21 Feb
KAMPENI: Sitta azidi kupigiwa debe
10 years ago
Mtanzania02 Sep
Sitta azidi kuinanga rasimu ya Jaji Warioba
![Samuel Sitta](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Samuel-Sitta.jpg)
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta
MAREGESI PAUL NA RACHEL MRISHO, DODOMA
MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, ameendelea kusisitiza kuwa rasimu ya Katiba mpya iliyosimamiwa na Jaji Joseph Warioba imejaa kasoro.
Kutokana na hali hiyo, amesema Bunge Maalumu la Katiba limelazimika kuiboresha kwa kuwa kila kitu kinachoandikwa na binadamu hakiwezi kuwa sahihi.
Sitta alitoa kauli hiyo mjini hapa jana, alipokuwa akipokea...
11 years ago
Habarileo16 Mar
Sitta adaiwa kukiuka kanuni
AKIWA ndiyo kwanza ametoka kuapishwa na kuanza kazi, Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta amepingwa na mjumbe wa bunge hilo, Tundu Lissu kuwa amefanya maamuzi kwa kukiuka kanuni.
11 years ago
Mtanzania30 Jul
Sitta adaiwa kutumia Bunge la Katiba kusaka urais
![Samuel Sitta](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/07/Samuel-Sitta.jpg)
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta
NA ELIZABETH HOMBO
MBUNGE wa Mkanyageni, Habib Mnyaa (CUF) amesema Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta, anataka kulitumia Bunge la Katiba kwa nia ya kufanikisha dhamira yake ya kutaka urais.
Mnyaa alisema ni jambo la kushangaza kuona Sitta akihangaika kusaka suluhu na wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).
Akizungumza na MTANZANIA Jumatano, Mnyaa alisema ni jambo lisiloingia...
10 years ago
Tanzania Daima28 Aug
Sitta anawahadaa Watanzania
WADAU, wanaharakati, wanasiasa na wananchi mbalimbali wamekuwa wakipaza sauti juu ya mwenendo wa Bunge Maalum la Katiba linaloendelea mjini Dodoma. Bunge hilo lilianza kuingia dosari pale wajumbe wa bunge hilo...
11 years ago
Tanzania Daima17 Jul
‘Sitta ahadaa Watanzania’
IMEELEZWA kuwa kitendo cha Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta kuunda Kamati ya Maridhiano ni cha kuwahadaa Watanzania. Hayo yameelezwa jana na Mwinjilisti wa Kanisa la Tanzania Assemblies...