Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Sitta adaiwa kukiuka kanuni

AKIWA ndiyo kwanza ametoka kuapishwa na kuanza kazi, Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta amepingwa na mjumbe wa bunge hilo, Tundu Lissu kuwa amefanya maamuzi kwa kukiuka kanuni.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Sitta azima mjadala wa kanuni

MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, amesitisha mjadala wa kanuni za Bunge hilo akisema wananchi wamechoshwa na jambo hilo hivyo wajumbe wajielekeze kwenye kazi ya kutengeneza Katiba. Bunge...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sitta atakiwa kufuata kanuni

BAADHI ya wananchi wa Mji wa Dodoma wamemtaka Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, kuhakikisha anaendesha Bunge hilo kwa kufuata kanuni na taratibu zilizopitishwa na wajumbe. Aidha, wamesema...

 

10 years ago

Mwananchi

Sitta hakuchakachua Kanuni - Prof. Mahalu

Wakati baadhi ya watu wakiendelea kuamini kuwa Mwenyekiti wa Bunge la Katiba Samuel Sitta alichakachua kanuni ili apitishe Katiba, aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya kupitia Kanuni hizo za kuendeshea Bunge hilo, Profesa Costa Ricky Mahalu amemtetea akisema ‘Bunge halikukosea kurekebisha kanuni hizo.’

 

11 years ago

Michuzi

Mkipuuza kanuni, tusilaumiane,' Sitta alionya Bunge la Katiba

Courtesy of Mwananchi Communications Limited (MCL)

 

11 years ago

Mwananchi

Waliosema Sitta alivunja kanuni hawajui utawala bora

Kila Mjumbe ana cha kuzungumza juu ya kikao cha Bunge la Katiba kilichovunjwa, kutokana na zogo lililozuka bungeni siku ambayo Jaji Joseph Warioba alilazimika kuahirisha kuwasilisha Rasimu ya Pili ya Katiba kwa wajumbe wa bunge hilo.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Msipofuata kanuni, tusilaumiane,’ Sitta awaonya wajumbe wa #Bunge la #Katiba [VIDEO]

>Sitta aasa wajumbe wafanye kazi iliyowapeleka Dodoma bila manung’uniko wala lawama.

 

11 years ago

Dewji Blog

Sitta azidi kupingwa, adaiwa kuhadaa watanzania

sitta

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta.

Na Mwandishi wetu

Mwinjilisti wa Kanisa la TAG liliko Mbagala wilayani Temeke jijini Dar es Salaam, Medad Kyabashasa, amesema kitendo cha Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta kuunda Kamati ya maridhiano ni kitendo cha kuwahadaa Watanzania.

Hadaa hiyo ni yakutaka kuwafanya wajumbe wanaopigania Katiba ya Wananchi (Ukawa), ambao wametoka nje ya bunge hilo kupinga ubabe unaofanywa na wajumbe wa Chama Cha Mapinduzi, waonekane ni...

 

11 years ago

Mtanzania

Sitta adaiwa kutumia Bunge la Katiba kusaka urais

Samuel Sitta

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta

NA ELIZABETH HOMBO

MBUNGE wa Mkanyageni, Habib Mnyaa (CUF) amesema Mwenyekiti wa Bunge la Katiba, Samuel Sitta, anataka kulitumia Bunge la Katiba kwa nia ya kufanikisha dhamira yake ya kutaka urais.

Mnyaa alisema ni jambo la kushangaza kuona Sitta akihangaika kusaka suluhu na wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

Akizungumza na MTANZANIA Jumatano, Mnyaa alisema ni jambo lisiloingia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani