Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Magufuli azidi kuandamwa

Waziri John Magufuli

Waziri John Magufuli

Na Aziza Masoud, Dar es Salaam.

CHAMA cha Alliance for Democratic Change (ADC), kimemtaka Rais Jakaya Kikwete kumfukuza kazi Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli kwa kuisababishia hasara Serikali baada ya kushindwa kesi ya uvuvi haramu wa samaki katika Ukanda wa kiuchumi wa Bahari ya Hindi bila kibali.

Kauli hiyo imekuja siku chache baada ya Serikali kubwagwa katika kesi hiyo maarufu kama kesi ya ‘samaki wa Magufuli’ iliyofungulia mwaka 2012 wakati Dk. Magufuli akiwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Kificho azidi kuandamwa

JUMUIYA ya wastaafu wa taasisi za serikali na wakulima wamemtaka Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar (BLW), Pandu Ameir Kificho, kujiuzulu wadhifa wake kwa kile walichodai kuandaa waraka unaopendekeza kuwepo...

 

9 years ago

Habarileo

Magufuli azidi kupeta urais

YAKIWA yamebaki majimbo ya 69 kabla ya kutangazwa kwa matokeo yote ya urais, Watanzania wanaonekana kumpa kazi mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk John Magufuli (pichani) kuwaongoza katika kipindi cha miaka mitano ijayo baada ya kura nyingi kuelekezwa kwake.

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI AZIDI KUCHANGA MBUGA MKOANI TABORA

  Magufuli akiwa katika Jimbo la Ulyanhulu. Magufuli akiomba kura kwenye Jimbo la Kaliua. Magufuli akiomba kura Jimbo la Urambo.…

 

9 years ago

Dewji Blog

Magufuli azidi kuibomoa CHADEMA Kilimanjaro, awatolea uvivu watendaji TANESCO

 Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akimnadi mgombea Ubunge wa jimbo la Moshi mjini Ndugu Davis Mosha kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Mashujaa,mkoani Kilimanjaro jioni ya leo.PICHA ZOTE NA MICHUZI JR-KILIMANJARO.  Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM
Dk. John Pombe Magufuli na mgombea ubunge wa jimbo la Moshi mjini Ndugu
Davis Mosha wakimsikiliza Bw. Lema aliyekuwa Katibu wa Chadema
wilaya ya Hai wakati alipojiunga na...

 

9 years ago

Dewji Blog

Dkt. Magufuli azidi kuchanja mbuga mikutano ya kampeni mkoani Rukwa

Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM,Mhe. Mizengo Pinda akimtambulisha mgombea Urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli kwa wakazi wa Sumbawanga mjini kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika ndani ya uwanja wa Nelson Mandela jana jioni.


Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Sumbawaga mjini mkoani Rukwa,ndani ya Uwanja wa Nelson Mandela kwenye mkutano wa kampeni,pichani nyuma ni Waziri Mkuu Pinda akishuhudia tukio hilo._MG_6285 Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk....

 

10 years ago

Michuzi

DKT.MAGUFULI AZIDI KUPATA WADHAMINI MIKOA YA KAGERA, MARA NA MWANZA

Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa fomu yenye orodha ya Wadhamini waliojitokeza kumdhamini katika mbio za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia chama hicho kutoka kwa Katibu wa CCM Wilayani Musoma.Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa fomu yenye orodha ya Wadhamini waliojitokeza kumdhamini katika mbio za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia chama hicho kutoka...

 

9 years ago

GPL

DKT. MAGUFULI AZIDI KUNOGESHA KAMPENI ZA CCM ZA URAIS MKOANI RUVUMA‏

Mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM, Dkt. John Pombe Magufuli akipanda kwenye tingatinga ishara ya kuonesha uchapakazi wake serikalini.
....Akiliwasha tingatinga.  Magufuli akiendesha tingatinga linalofanya kazi kwenye barabara inayojengwa kutoka…

 

10 years ago

Michuzi

DKT.MAGUFULI AZIDI KUPATA WADHAMINI KATIKA MIKOA YA KILIMANJARO NA DAR ES SALAAM

Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa fomu yenye orodha ya Wadhamini waliojitokeza kumdhamini katika  mbio za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia chama hicho kutoka kwa Katibu wa CCM Wilayani  Moshi mjini Mkoani Kilimanjaro. Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akisalimiana na baadhi ya wanachama wa CCM Mkoani Kilimanjaro waliojitokeza kwa wingi kwa ajili ya kumdhamini. Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akisaini kitabu cha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani