DKT.MAGUFULI AZIDI KUPATA WADHAMINI KATIKA MIKOA YA KILIMANJARO NA DAR ES SALAAM
Waziri wa Ujenzi ambaye pia ni Mbunge wa Chato Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhiwa fomu yenye orodha ya Wadhamini waliojitokeza kumdhamini katika mbio za kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia chama hicho kutoka kwa Katibu wa CCM Wilayani Moshi mjini Mkoani Kilimanjaro.
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akisalimiana na baadhi ya wanachama wa CCM Mkoani Kilimanjaro waliojitokeza kwa wingi kwa ajili ya kumdhamini.
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akisaini kitabu cha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziDKT.MAGUFULI AZIDI KUPATA WADHAMINI MIKOA YA KAGERA, MARA NA MWANZA
10 years ago
Michuzi
WAZIRI MAGUFULI AZIDI KUPATA WADHAMINI WENGI KATIKA MIKOA YA MWANZA NA GEITA



10 years ago
VijimamboDKT. MAGUFULI AWASILI KISIWANI ZANZIBAR NA KUPATA WADHAMINI WENGI KATIKA MIKOA YA UNGUJA NA PEMBA
10 years ago
VijimamboDK JOHN MAGUFULI AZIDI KUPATA WADHAMINI KUWANIA URAIS MIKOA YA KAGERA,MARA NA MWANZA
10 years ago
MichuziDKT. MAGUFULI ATAPA WADHAMINI KATIKA MIKOA YA UNGUJA NA PEMBA, ZANZIBAR
5 years ago
Michuzi
RAIS DKT MAGUFULI ASHIRIKI KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA MADAKTARI KITAIFA MWAKA 2020 JIJINI DAR ES SALAAM






10 years ago
Dewji Blog26 Jul
Dkt Magufuli arejea jijini Dar baada ya kujitambulisha mikoa kadhaa, apokelewa kwa kishindo

Mgombea Urais alieteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa Mji wa Chalinze (hawapo pichani) alipokuwa akirejea jijini Dar jana jioni akitokea mkoani Dodomaakitokea Mkoani Dodoma. (PICHA NA MICHUZI JR-MICHUZI MEDIA GROUP).

Wakazi wa Bagamoyo wakimsikiliza Dkt Magufuli wakati alipokuwa akijitambulisha kwao.

Mkazi wa Bagamoyo akifurahia jambo.

10 years ago
Michuzi
DKT MAGUFULI AREJEA JIJINI DAR BAADA YA KUJITAMBULISHA MIKOA KADHAA,APOKELEWA KWA KISHINDO


5 years ago
Michuzi
RAIS DKT MAGUFULI NA MKEWE MAMA JANETH MAGUFULI WASHIRIKI IBADA YA JUMATANO YA MAJIVU KANISA LA MTAKATIFU PETRO JIJINI DAR ES SALAAM


Makubi wakati wa Ibada ya Jumatano ya...