Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lipumba azidi kubanwa mahakamani

Ofisa Operesheni wa Polisi Temeke, Muhudhnwari Msuya ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa, Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba alikiri kupokea barua ya polisi iliyowazuia kufanya maandamano na mkutano Mbagala Zakhem, lakini alikaidi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mtanzania

Sitta azidi kubanwa

Samuel Sitta

Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta

NA WAANDISHI WETU

MWENYEKITI wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, amezidi kuandamwa baada ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kumtaka kusitisha mara moja mchakato wa Katiba unaoendelea.

Kituo hicho, kimesema Bunge hilo linapaswa kusitishwa hadi muafaka utakapofikiwa kati ya makundi mawili yanayosigana.

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana, Mkurugenzi wa  LHRC,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Waziri Mkuu wa Ugiriki azidi kubanwa

Waziri mkuu wa ugiriki Alexis Tsipras wa Ugiirik anazidi kukabiliwa na upinzani kwa hatua mpya na kali za malipo alizokubali.

 

10 years ago

Vijimambo

LIPUMBA AFIKISHWA MAHAKAMANI

 Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba akiwa kwenye kizimba cha mahakama tayari kusomewa shitaka linalomkabili. Mwenyekiti wa CUF, Prof. Ibrahim Lipumba, akiwa kwenye chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, leo mchana wakati alipofika kusomewa shitaka la kesi yake ya jinai kwa kuwashawishi wafuasi wake kufanya fujo baada ya kutiwa mbaroni jana alipokuwa akiongoza maandamano ya wanachama wa CUF. Mwenyekiti wa Chama cha Wanachi CUF, Prof Ibrahim haruna Lipumba akiwa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Profesa Lipumba afikishwa mahakamani

Mwenyekiti wa chama cha CUF nchini Tanzania Ibrahim Lipumba amefikishwa mahakamani kwa kuandamana kinyume cha sheria

 

9 years ago

Habarileo

Wazazi wasiowajibika kubanwa

SERIKALI imesema itaboresha sheria kwa ajili ya kubana wazazi wasiowajibika katika malezi.

 

11 years ago

Mwananchi

Wachakachuaji pembejeo kubanwa

>Serikali imeanza mchakato wa marekebisho ya Sheria ya Mbegu, Mbolea na Dawa itakayosaidia kuwabana ama kuwafilisi mawakala wa pembejeo za kilimo watakaobainika kufanya biashara kwa kuzichakachua.

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge wakataa kubanwa

BAADHI ya wabunge wa Bunge Maalum la Katiba, wamependekeza kuondoa kwenye rasimu ya Katiba mpya, kipengele kinachotaka wananchi wapewe uwezo kisheria, kuwaondoa wabunge wao wasioweza kutatua kero za wapigakura wao, badala ya kusubiri mpaka baada ya Uchaguzi Mkuu.

 

11 years ago

Habarileo

Kampuni za simu kubanwa

Rais Jakaya Kikwete akizindua rasmi mtambo wa usimamizi wa ufuatiliaji mawasiliano ya simu nchini (TTMS) katika sherehe iliyofanyika Dar es Salaam jana. Kutoka kulia ni Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Profesa John Nkoma na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Mecki Sadiki. (Picha na Mohamed Mambo).KAMPUNI za simu nchini zitaanza kufuatiliwa na mtambo maalumu ili kubaini kila senti zinazoingiza na kuwezesha Serikali kupata kodi yake kikamilifu.

 

10 years ago

Habarileo

Maofisa takwimu kubanwa

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia.WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia amesema Serikali haitakuwa na huruma kwa maofisa elimu, takwimu na vifaa (SLO) katika halmashauri nchini watakaochelewesha na kuwasilisha takwimu za elimu zisizo sahihi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani