Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wabunge wakataa taarifa ya Jiji

KAMATI ya Bunge ya Kudumu ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imekataa taarifa ya ujenzi wa kliniki ya mama na mtoto ya Utemini jijini hapa, kutokana kujengwa chini ya kiwango. Taarifa hiyo ilikataliwa baada ya uongozi wa Halmashauri ya jiji la Mwanza, kushindwa kuonesha thamani halisi ya fedha iliyotumika katika ujenzi wa klinki hiyo, ambayo ni mbadala wa kliniki ya Makongoro, ambayo eneo lake lilinunuliwa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wabunge wakataa kubanwa

BAADHI ya wabunge wa Bunge Maalum la Katiba, wamependekeza kuondoa kwenye rasimu ya Katiba mpya, kipengele kinachotaka wananchi wapewe uwezo kisheria, kuwaondoa wabunge wao wasioweza kutatua kero za wapigakura wao, badala ya kusubiri mpaka baada ya Uchaguzi Mkuu.

 

11 years ago

Habarileo

Wabunge wakataa posho Sh 300,000

Mbunge wa Sumve, Richard NdassaWAKATI mjadala wa kihistoria wa kuunda Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ukiwa katika hatua ya kupata kanuni za Bunge Maalumu la Katiba, baadhi ya wajumbe wameamua kuelekeza nguvu kudai posho nono.

 

10 years ago

Habarileo

Wabunge wataka jiji Dar es Salaam livunjwe

Mbunge wa Msalala, Ezekiel MaigeKAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), imehoji kwanini halmashauri ya jiji la Dar es Salaam isivunjwe na kuwa na kitengo kidogo kutokana na kutokuwa na majukumu ya moja kwa moja kwa wananchi.

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA KUAHIRISHWA HUDUMA YA TRENI YA JIJI KESHO JUMAMOSI JULAI 19, 2014!

UONGOZI WA KAMPUNI YA RELI TANZANIA -TRL  UNAWATAARIFU WAKAZI WA JIJI NA WANACHI KWA JUMLA KUSITISHWA KWA HUDUMA YA TRENI YA JIJI HAPO KESHO JUMAMOSI JULAI 19, 2014, ILI KUPISHA UKARABATI WA MIUNDO MBINU YA RELI KATI YA DAR STESHENI HADI UBUNGO MAZIWA ITAKAYOFANYIKA KWA SIKU ZA JUMAMOSI NA JUMAPILI.
HATA HIVYO HUDUMA HIYO ITAREJEA TENA KAMA KAWAIDA KUANZIA JUMATATU JULAI 21, 2014 . ATAKAYESIKIA AU KUSOMA TAARIFA HII AMUARIFU NA MWENZIYE.
UONGOZI WA TRL UNASIKITIKA KWA USUMBUFU...

 

11 years ago

Michuzi

Taarifa ya KUSITISHWA KWA MUDA HUDUMA YA TRENI YA JIJI KUANZIA KESHO JUNI 19, 2014


 Uongozi wa Kampuni ya Reli Tanzania –TRL unasikitika  kuwataarifu wananchi na wateja wake  wa  huduma ya treni ya Jiji kuwa hiyo  imesitishwa kwa muda wa siku 3 kuanzia kesho Juni 19, 2014 hadi  Jumammosi Juni 21, 2014. Aidha huduma hiyo itaanza tena hapo Jumatatu Juni 23, 2014 kwa kufuata ratiba yake ya kawaida. Uamuzi huo unatokana na sababu za kiufundi ikiwemo kufanyiwa matengenezo vichwa vyote vya  viwili ambavyo vimekuwa vikihudumia treni hiyo ya Jiji. Vichwa hivyo vinapaswa...

 

9 years ago

Michuzi

MFUMO WA UTUNZAJI WA TAARIFA ZA VITUO VYA AFYA TANZANIA BARA WAZINDULIWA LEO JIJI DAR

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Donani Mmbando  akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya  Mfumo uhifadhi na kutoa taarifa za zituo vya Afya kituo tangu kinapojengwa, atakikifunguliwa na hata kinapofungwa, leo Jjijini Dar es salaam. Wanahabari wa kimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Usitawi wa Jamii Donani Mmbando leo jijini Dar es salaam.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

10 years ago

Dewji Blog

Taarifa kwa wabunge na wagombea watarajiwa katika uchaguzi mkuu wa 2015 Tanzania

newala 1

Uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Rais unatarajia kufanyika hapo mwakani, Wabunge na wanaotaka kuwania Ubunge katika majimbo mbalimbali nchini hata urais mnakaribishwa kuandaa TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA VYAMA VYENU.

Kitabu kama hicho kitakuwezesha wewe Mgombea kutotumia nguvu kuubwa ya kujinadi badala yake utavigawa kwa wananchi mbalimbali jimboni kwako nawe kuelewa nini umewafanyia katika kipindi ambacho ulikuwa madarakani.

Pia wagombea wapya pia wanaweza andaa vitabu kama hivi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani