MFUMO WA UTUNZAJI WA TAARIFA ZA VITUO VYA AFYA TANZANIA BARA WAZINDULIWA LEO JIJI DAR
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Donani Mmbando akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya Mfumo uhifadhi na kutoa taarifa za zituo vya Afya kituo tangu kinapojengwa, atakikifunguliwa na hata kinapofungwa, leo Jjijini Dar es salaam.
Wanahabari wa kimsikiliza kwa makini Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Usitawi wa Jamii Donani Mmbando leo jijini Dar es salaam.KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
VijimamboWIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII YAZINDUA MFUMO WA UTUNZAJI WA TAARIFA ZA VITUO VYA AFYA TANZANIA BARA
9 years ago
Dewji Blog10 Sep
Wizara ya Afya yazindua mfumo wa utunzaji wa taarifa wa ‘e-Health’ nchini
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Donan Mmbando akitoa hotuba yake ya kuzindua mfumo wa utunzaji wa taarifa za vituo vya afya vya Tanzania Bara jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Donan Mmbando akionyeza kitufe kuashiria uzinduzi rasmi wa mfumo wa utunzaji wa taarifa za vituo vya afya vya Tanzania Bara jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wadau wakiwa katika uzinduzio huo.(Magreth Kinabo – Maelezo).
Beatrice Lyimo- MAELEZO
Serikali...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-69WSTnko-r0/VnFB0CxtBNI/AAAAAAAApO8/HPDS0ghFDi4/s72-c/NMB-1.jpg)
NMB YAZINDUA MFUMO WA KISASA WA UTUNZAJI WA TAARIFA ZA MIKOPO, WATEJA SASA KUPATA MIKOPO NDANI YA SIKU 4.
![](http://4.bp.blogspot.com/-69WSTnko-r0/VnFB0CxtBNI/AAAAAAAApO8/HPDS0ghFDi4/s640/NMB-1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/--9b5tR4SWeA/VnFCKG-pU9I/AAAAAAAApPQ/1hskTdNVBKs/s640/NMB%2B-2.jpg)
9 years ago
Dewji Blog16 Dec
Benki ya NMB yazindua mfumo wa kisasa wa utunzaji wa taarifa mikopo, wateja sasa kupata mikopo ndani ya siku 4
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB Plc Ineke Bussemaker akizungumza na waandishi wa Habari kuhusu mfumo wa kisasa wa utunzaji wa taarifa za mikopo uliozinduliwa na Benki hiyo. Mfumo huo utatutumika kwenye kanzi data ya Mikopo ya Benki hiyo ( CRB’s) kwa lengo la kuwawezesha wateja wakubwa na wadogo wa wanaoomba mikopo kuipata ndani ya siku 1 hadi 4 .
Afisa Mkuu Udhibiti wa Hasara wa Benki ya NMB Bw. Tom Borghols (wa pili kutoka kushoto) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa Habari (hawapo...
10 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA AFYA ZANZIBAR MAHMOUD THABIT KOMBO AFUNGA MAFUNZO YA SIKU 10 YA MFUMO WA UKUSANYAJI TAARIFA ZA AFYA
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-MmsfcglWscM/VCaN0ItavPI/AAAAAAAGmIM/oMIhp_CQbVw/s72-c/UM1a.jpg)
Vijana wahamasishwa kutembelea vituo vya afya kujua afya zao
![](http://3.bp.blogspot.com/-MmsfcglWscM/VCaN0ItavPI/AAAAAAAGmIM/oMIhp_CQbVw/s1600/UM1a.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-arv2NlHLATk/VCaN0PaKCjI/AAAAAAAGmIU/BXUBvF92IiE/s1600/UM1b.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-z-O5zQLcswY/UwINAKQ5s0I/AAAAAAAFNoA/Qt6HW9Xcjrs/s72-c/kili_awards2.jpg)
MSIMU WA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2014 WAZINDULIWA RASMI LEO JIJINI DAR
![](http://3.bp.blogspot.com/-z-O5zQLcswY/UwINAKQ5s0I/AAAAAAAFNoA/Qt6HW9Xcjrs/s1600/kili_awards2.jpg)
Mkutano na wana habari za michezo na burudani kutoka vyombo mbali mbali ndio umezindua msimu huu katika hoteli ya Kebby’s ilioko maeneo ya Mwenge jijini Dar es Salaam. Viongozi wa BASATA pamoja na wa bia ya Kilimanjaro walizungumzia mabadiliko chanya katika mchakato wa mwaka huu ikiwa ni juhudi na hatua za...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yhCsS*vRHKhE1lYAb3TOlDXX8CSu8yPVrlywmLqsJHclqevIKkfnD4hRAU9RbsVxzbWn5iPSRSx8mqHQ-uKec1ZagcrSdh3a/DSCF0652.jpg?width=650)
MCHAKATO WA TUZO ZA WANAWAKE WENYE MAFANIKIO TANZANIA WAZINDULIWA RASMI LEO JIJINI DAR
5 years ago
BBCSwahili28 May
Virusi vya Corona: Rais wa Chama cha Madaktari Tanzania aiambia BBC kuwa mfumo wa afya haujaelemewa