Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSIMU WA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2014 WAZINDULIWA RASMI LEO JIJINI DAR

Kampuni ya bia ya Tanzania (TBL) kwa ushirikiano na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) leo tumezindua rasmi msimu mwingine wa Tuzo za Muziki Tanzania zinazojulikana kama KTMA.
Mkutano na wana habari za michezo na burudani kutoka vyombo mbali mbali ndio umezindua msimu huu katika hoteli ya Kebby’s ilioko maeneo ya Mwenge jijini Dar es Salaam. Viongozi wa BASATA pamoja na wa bia ya Kilimanjaro walizungumzia mabadiliko chanya katika mchakato wa mwaka huu ikiwa ni juhudi na hatua za...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

George kavishe azungumzia maandalizi ya Kilimanjaro Tanzania music Awards (KTMA) 2014 yanayofanyika leo mlimani City jijini Dar es salaam

Meneja wa kilaji cha Kilimanjaro Lager wa TBL Bw. George Kavishe azungumzia maandalizi ya Tuzo za Kili Music Awards zitazotolewa leo May 3, 2014 kuanzia saa tatu usiku katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam

 

11 years ago

GPL

GEORGE KAVISHE AZUNGUMZIA MAANDALIZI YA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS (KTMA) 2014 YANAYOFANYIKA LEO MLIMANI CITY JIJINI DAR ES SALAAM

Meneja wa kilaji cha Kilimanjaro Lager wa TBL Bw. George Kavishe azungumzia maandalizi ya Tuzo za Kili Music Awards zitazotolewa leo May 3, 2014 kuanzia saa tatu usiku katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.

 

11 years ago

GPL

A-Z YA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2014 MLIMANI CITY JIJINI DAR

Mshindi wa tuzo saba za KTMA Diamond akikabidhiwa tuzo na staa wa filamu Bongo, Vincent Kigosi 'Ray'. ...Akikabidhiwa tuzo na mchumba wake Wema Sepetu.…

 

10 years ago

GPL

MCHAKATO WA TUZO ZA WANAWAKE WENYE MAFANIKIO TANZANIA WAZINDULIWA RASMI LEO JIJINI DAR

Rais wa Taasisi ya kijamii ya Wanawake wenye Mafanikio Tanzania (Tanzania Women of Achievement ),Bi. Irene Kiwia (kulia) akisisitiza jambo mbele ya wanahabari (hawapo pichani) juu ya utoaji wa Tuzo za Wanawake wenye Mafanikio Tanzania ambazo zitafanyika Machi 7,2015 kwa mara ya nne tangu kuanzishwa kwake, ikiwa na lengo la kuwatambua na kuwapongeza wanawake ambao wamechangia maendeleo ya nchi katika nyanja tofauti.… ...

 

11 years ago

GPL

MCHAKATO WA KUWAPATA WASHINDI KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2014 WAENDELEA

Kampuni ya TBL leo imekutana na wanahabari kuzungumzia mwenendo wa mchakato wa kuwapata washindi wa vipengele vya tuzo za Tanzania - Kilimanjaro Tanzania Music Award (KTMA).
(VIDEO: PATRICK BUZOHERA / GLOBAL TV…

 

10 years ago

Michuzi

MSIMU WA 13 WA MBIO ZA KIMATAIFA ZA KILIMANJARO MARATHONI WAZINDULIWA MJINI MOSHI

Katibu tawala wa mkoa wa Kilimanjaro Seveline Kahitwa akiwa ameshika bendera kuashiria uzinduzi wa msimu wa 13 wa mbio za kimataifa za Kilimanjaro Marathoni,Uzinduzi uliofanyika Hotel ya Kibo Homes,Wengine ni Viongozi katika kampuni ambazo zimejitkeza kudhamini mbio hizo Katibu tawala wa mkoa wa Kilimanjaro Seveline Kahitwa akizungumza wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa msimu wa 13 wa mbio za kimataifa za Kilimanjaro Marathoni,Uzinduzi uliofanyika Hotel ya Kibo Homes, Meneja wa Bia ya...

 

10 years ago

GPL

MSIMU WA KTMA 2015 WAZINDULIWA RASMI

Meneja Udhamini wa TBL, George Kavishe, akizungumzia moja ya vipengele vipya vilivyofanyiwa maboresho kwenye tuzo hizo.…

 

11 years ago

Michuzi

mchakato wa kumpata “Redds Miss Tanzania 2014 wazinduliwa rasmi

 Meneja wa kinywaji cha Redd's Original Victoria kimaro akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam juu ya kuzinduliwa kwa mashindano ya Redd,s Miss Tanzania 2014
Mkurugenzi wa kampuni ya LINO International Hashi Lundenga akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam juu ya kuzinduliwa kwa mashindano ya Redd's Miss Tanzania 2014 katikakati ni meneja wa kinywaji cha Redd's Original Victoria Kimaro na mwisho ni Meneja Masoko wa kinywaji cha Redd's Original Vimal...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani