Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSIMU WA KTMA 2015 WAZINDULIWA RASMI

Meneja Udhamini wa TBL, George Kavishe, akizungumzia moja ya vipengele vipya vilivyofanyiwa maboresho kwenye tuzo hizo.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MSIMU WA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2014 WAZINDULIWA RASMI LEO JIJINI DAR

Kampuni ya bia ya Tanzania (TBL) kwa ushirikiano na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) leo tumezindua rasmi msimu mwingine wa Tuzo za Muziki Tanzania zinazojulikana kama KTMA.
Mkutano na wana habari za michezo na burudani kutoka vyombo mbali mbali ndio umezindua msimu huu katika hoteli ya Kebby’s ilioko maeneo ya Mwenge jijini Dar es Salaam. Viongozi wa BASATA pamoja na wa bia ya Kilimanjaro walizungumzia mabadiliko chanya katika mchakato wa mwaka huu ikiwa ni juhudi na hatua za...

 

10 years ago

Dewji Blog

Msimu wa pili wa tamthilia Siri ya Mtungi wazinduliwa

1

Mtayarishaji wa tamthilia ya Siri ya Mtungi  Louise Kamin kutoka  Shirika Lisilo la Kiserikali la  Media for Development International Tanzania (MFDI-TZ) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kuhusiana na msimu wa pili na wa mwisho wa tamthilia hiyo. Kutoka kulia kwa Kamin ni Karabani (Muongozaji), Cheche (Muigizaji), Jordan Riber (Muongozaji). Kutoka kushoto ni Goldliver Gordian (cheusi) na David Michael (Duma).

Na Mwandishi Wetu

Msimu wa pili wa tamthilia ya Siri ya Mtungi...

 

10 years ago

GPL

MSIMU WA TANO WA AIRTEL RISING STARS WAZINDULIWA LEO

Mkurugenzi wa Idara ya Michezo katika Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo, Leonard Thadeo akipiga mpira kuashiria kuzinduliwa kwa michuano hiyo. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Mpira wa Miguu wa Vijana Tanzania, Ayoub Nyenzi, Mkurugenzi wa Idara ya Michezo katika Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo, Leonard Thadeo, Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania, Beatrice Singano na Rais wa TFF, Jamal...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Msimu wa pili wa tamthilia ya ‘Siri ya Mtungi’ wazinduliwa Dar

Msimu wa pili wa Tamthilia ya ‘Siri ya Mtungi’, leo umezinduliwa jijini Dar es Salaam ambapo utaanza kuoneshwa rasmi Jumapili, December 7 katika vituo mbalimbali vya runinga. Mtayarishaji wa tamthilia ya Siri ya Mtungi, Louise Kamin akizungumza na waandishi wa habari Akizungumza na waandishi wa habari ndani ya ukumbi wa Hadees Fast Food uliopo Posta […]

 

10 years ago

Michuzi

Msimu wa pili wa tamthilia Siri ya Mtungi Wazinduliwa, kuonekana TBC

Msimu wa pili wa tamthilia ya Siri ya Mtungi itazinduliwa rasmi Desemba 7 kupitia televisheni ya Taifa (TBC). Akizungumza jijini leo mtayarishaji wa tamthilia hiyo, Louise Kamin kutoka Shirika Lisilo la Kiserikali la Media for Development International Tanzania (MFDI-TZ) alisema kuwa sehemu ya pili ya tamthilia hii inakamilisha Siri ya Mtungi kufuatia msisimko mkubwa wa msimu wa kwanza. Kamin alisema kuwa kukamilika kwa hatua ya pili kunatokana na udhamini mnono wa the John Hopkins...

 

10 years ago

Michuzi

MSIMU WA 13 WA MBIO ZA KIMATAIFA ZA KILIMANJARO MARATHONI WAZINDULIWA MJINI MOSHI

Katibu tawala wa mkoa wa Kilimanjaro Seveline Kahitwa akiwa ameshika bendera kuashiria uzinduzi wa msimu wa 13 wa mbio za kimataifa za Kilimanjaro Marathoni,Uzinduzi uliofanyika Hotel ya Kibo Homes,Wengine ni Viongozi katika kampuni ambazo zimejitkeza kudhamini mbio hizo Katibu tawala wa mkoa wa Kilimanjaro Seveline Kahitwa akizungumza wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa msimu wa 13 wa mbio za kimataifa za Kilimanjaro Marathoni,Uzinduzi uliofanyika Hotel ya Kibo Homes, Meneja wa Bia ya...

 

10 years ago

Michuzi

msimu wa tano wa mashindano ya soka kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars wazinduliwa leo

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania leo imezindua rasmi msimu wa tano wa mashindano ya soka kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars ambayo yataanza kutimua vumbi Agosti 8 katika ngazi ya awali na kuhitimishwa kwa fainali za Taifa jijini Dar es Salaam kuanzia Septemba 11 - 21 mwaka huu.  Akiongea na waandishi wa habari kwenye hafla ya uzinduzi jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania Beatrice Singano amesema kampuni ya Airtel Tanzania ...

 

9 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani