Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: Msimu wa pili wa tamthilia ya ‘Siri ya Mtungi’ wazinduliwa Dar

Msimu wa pili wa Tamthilia ya ‘Siri ya Mtungi’, leo umezinduliwa jijini Dar es Salaam ambapo utaanza kuoneshwa rasmi Jumapili, December 7 katika vituo mbalimbali vya runinga. Mtayarishaji wa tamthilia ya Siri ya Mtungi, Louise Kamin akizungumza na waandishi wa habari Akizungumza na waandishi wa habari ndani ya ukumbi wa Hadees Fast Food uliopo Posta […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Msimu wa pili wa tamthilia Siri ya Mtungi wazinduliwa

1

Mtayarishaji wa tamthilia ya Siri ya Mtungi  Louise Kamin kutoka  Shirika Lisilo la Kiserikali la  Media for Development International Tanzania (MFDI-TZ) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari kuhusiana na msimu wa pili na wa mwisho wa tamthilia hiyo. Kutoka kulia kwa Kamin ni Karabani (Muongozaji), Cheche (Muigizaji), Jordan Riber (Muongozaji). Kutoka kushoto ni Goldliver Gordian (cheusi) na David Michael (Duma).

Na Mwandishi Wetu

Msimu wa pili wa tamthilia ya Siri ya Mtungi...

 

10 years ago

Michuzi

Msimu wa pili wa tamthilia Siri ya Mtungi Wazinduliwa, kuonekana TBC

Msimu wa pili wa tamthilia ya Siri ya Mtungi itazinduliwa rasmi Desemba 7 kupitia televisheni ya Taifa (TBC). Akizungumza jijini leo mtayarishaji wa tamthilia hiyo, Louise Kamin kutoka Shirika Lisilo la Kiserikali la Media for Development International Tanzania (MFDI-TZ) alisema kuwa sehemu ya pili ya tamthilia hii inakamilisha Siri ya Mtungi kufuatia msisimko mkubwa wa msimu wa kwanza. Kamin alisema kuwa kukamilika kwa hatua ya pili kunatokana na udhamini mnono wa the John Hopkins...

 

9 years ago

Bongo5

Msimu wa pili wa tamthilia ya Empire kuanza kesho

Mifarakano ya kifamilia, mapenzi na harakati za kushika hatamu ziliifanya tamthilia ya hip hop ya Empire kuangaliwa zaidi kwenye kituo cha runinga cha Fox mwaka huu. Na sasa watazamaji wategemee uhondo zaidi kwenye msimu wa pili. “Kama msimu wa kwanza ulijengwa kwenye mazingira ya nani atarithi kitu cha enzi, msimu wa pili ni falme zenye […]

 

10 years ago

Bongo Movies

PICHA:Waigizaji wa Siri ya Mtungi na mashabiki wao walivyosherekea siku ya wapendanao " VALENTINE DAY"

Kila mtu anakumbuka kivyake VALENTINE yake ilivyoenda yani, mashabiki wa tamthilia ya ‘Siri ya Mtungi’ walipata nafasi ya kuenjoy na mastaa wanaoonekana kwenye tamthilia hiyo, Cheche pamoja na Cheusi.

Fans hao walipatikana kwenye shindano lililofanywa kwenye kurasa za Siri ya Mtungi kwenye Facebook, Instagram na Twitter, kazi ilikuwa rahisi tu, kuwashawishi wasanii hao kwa kutuma nyimbo, picha na video.

Walioshinda ni wawili, Wery Kuli na Nargis Swizzan.

Walienjoy pamoja chakula cha...

 

11 years ago

Michuzi

MSIMU WA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2014 WAZINDULIWA RASMI LEO JIJINI DAR

Kampuni ya bia ya Tanzania (TBL) kwa ushirikiano na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) leo tumezindua rasmi msimu mwingine wa Tuzo za Muziki Tanzania zinazojulikana kama KTMA.
Mkutano na wana habari za michezo na burudani kutoka vyombo mbali mbali ndio umezindua msimu huu katika hoteli ya Kebby’s ilioko maeneo ya Mwenge jijini Dar es Salaam. Viongozi wa BASATA pamoja na wa bia ya Kilimanjaro walizungumzia mabadiliko chanya katika mchakato wa mwaka huu ikiwa ni juhudi na hatua za...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Mgahawa mpya ‘VVK’ wa Khadija Mwanamboka wazinduliwa jijini Dar

Mbunifu wa mavazi, Khadija Mwanamboka amezindua mgahawa mpya uitwao VVK pamoja na super market itakayokuwa inatoa huduma ya chakula cha aina mbalimbali pamoja na kuandaa events. Mteja akifanya shopping ndani ya VVK Super Market Akizungumza na Bongo5 jana Kinondoni jijini Dar es salaam, Khadija alisema mgahawa huo pia utakuwa unasambaza chakula kwa order maalum kwa […]

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani