Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: Mgahawa mpya ‘VVK’ wa Khadija Mwanamboka wazinduliwa jijini Dar

Mbunifu wa mavazi, Khadija Mwanamboka amezindua mgahawa mpya uitwao VVK pamoja na super market itakayokuwa inatoa huduma ya chakula cha aina mbalimbali pamoja na kuandaa events. Mteja akifanya shopping ndani ya VVK Super Market Akizungumza na Bongo5 jana Kinondoni jijini Dar es salaam, Khadija alisema mgahawa huo pia utakuwa unasambaza chakula kwa order maalum kwa […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Khadija Mwanamboka aelezea mafanikio ya mgahawa wake wa VVK na mipango ya mwakani

4K0A5045

Mjasiriamali na mbunifu wa mavazi nchini, Khadija Mwanamboka amesema ubunifu anaoutumia kwenye mavazi, aliuhamishia kwenye biashara yake ya mgahawa wa vyakula ‘VVK’ ndio maana mwezi huu unatimiza mwaka mmoja ukiwa na mafanikio makubwa.

4K0A5075

Khadija ameiambia Bongo5 kupitia mgahawa huo wa VVK ambacho ni kirefu cha Vitu Vya Khadija uliopo Block 41 Kinondani, jijini Dar es salaam, amesema dani ya mwaka mmoja ameweza kuvuka matarajio ya kuwafikia wateja wengi zaidi.

“Nimeamua kuwa serious kwenye...

 

9 years ago

Dewji Blog

KFC wafungua mgahawa mpya eneo la Kariakoo jijini Dar

  Mkurugenzi mkuu wa KFC nchini Tanzania, Louis Venter(kushoto) akikata utepe wakati wa ufunguzi wa tawi la KFC eneo  la Kariakoo jijini Dar ambapo waliweza kusherekea na watoto wenye mahitaji maalumu wa shule ya msingi ya Uhuru Mchanganyiko. Mkurugenzi mkuu wa KFC nchini Tanzania, Louis Venter akiwakaribisha wageni waalikwa pamoja na kuzungumza jambo wakati wa ufunguzi wa Mgahawa wa KFC eneo la Kariakoo jijini Dar Mkurugenzi mkuu wa KFC nchini Tanzania, LOuis Venter(katikati) akimkabidhi...

 

9 years ago

Habarileo

Mnara wenye mgahawa wazinduliwa Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein amezindua Mnara wa Kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

 

10 years ago

GPL

MGAHAWA WA BRAKE POINT CANIVOR WAZINDULIWA KWA SHAMRA KIBAO

Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mgahawa wa Brake Point Canivor, Daudi Machumu,(mwenye shati la drafti)  akiwa kwenye pozi na wadau wa bia ya Windhoek na wengineo.…

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Msimu wa pili wa tamthilia ya ‘Siri ya Mtungi’ wazinduliwa Dar

Msimu wa pili wa Tamthilia ya ‘Siri ya Mtungi’, leo umezinduliwa jijini Dar es Salaam ambapo utaanza kuoneshwa rasmi Jumapili, December 7 katika vituo mbalimbali vya runinga. Mtayarishaji wa tamthilia ya Siri ya Mtungi, Louise Kamin akizungumza na waandishi wa habari Akizungumza na waandishi wa habari ndani ya ukumbi wa Hadees Fast Food uliopo Posta […]

 

9 years ago

Michuzi

UMOJA WA WANAFUNZI WALIOSOMA ST.JOSEPH WAZINDULIWA JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii.

WANAFUNZI waliosoma  Shule ya Forodhani na Sasa St.Joseph Cathedral  wameanzisha  umoja wa shule hiyo kwa ajili ya kusaidia elimu pamoja na masuala ya kijamii.


Wakizungumza nyakati tofauti wanafunzi waliosoma hapo wamewataka wanafunzi kufuata nyayo zao kutokana na shule hiyo kuwa na historia nzuri ambayo hadi sasa haijaweza kufutika.


Wamesema kuwa umoja huo utakuwa imara katika kusaidia shule hiyo katika masuala mbalimbali ikiwemo na kusaidia jamii kutokana na...

 

9 years ago

Michuzi

MTANDAO WA WAANDISHI WA MASUALA YA HAKI YA AFYA YA UZAZI NA JINSIA WAZINDULIWA JIJINI DAR


Mratibu wa Uzazi Salama Kitaifa, Dk. Koheleth Winani akizungumza na waandishi wa habari za masuala ya haki jinsia na uzazi katika mkutano uliofanyika leo katika hoteli ya Land Mark jijini Dar es Salaam.

Kaimu Mwenyekiti wa Mtandao wa waandishi wa habari wa Haki na Afya  ya Jinsia na Uzazi TAMENET–SRHR nchini,Siyovelwa Hussein akizungumza na waandishi wa habari wa wa Haki na Afya  ya Jinsia na Uzazi TAMENET–SRHR leo jijini Dar  es Salaam.Mratibu wa Uzazi Salama Kitaifa, Dk. Koheleth Winani...

 

10 years ago

GPL

MCHAKATO WA TUZO ZA WANAWAKE WENYE MAFANIKIO TANZANIA WAZINDULIWA RASMI LEO JIJINI DAR

Rais wa Taasisi ya kijamii ya Wanawake wenye Mafanikio Tanzania (Tanzania Women of Achievement ),Bi. Irene Kiwia (kulia) akisisitiza jambo mbele ya wanahabari (hawapo pichani) juu ya utoaji wa Tuzo za Wanawake wenye Mafanikio Tanzania ambazo zitafanyika Machi 7,2015 kwa mara ya nne tangu kuanzishwa kwake, ikiwa na lengo la kuwatambua na kuwapongeza wanawake ambao wamechangia maendeleo ya nchi katika nyanja tofauti.… ...

 

11 years ago

Michuzi

MSIMU WA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2014 WAZINDULIWA RASMI LEO JIJINI DAR

Kampuni ya bia ya Tanzania (TBL) kwa ushirikiano na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) leo tumezindua rasmi msimu mwingine wa Tuzo za Muziki Tanzania zinazojulikana kama KTMA.
Mkutano na wana habari za michezo na burudani kutoka vyombo mbali mbali ndio umezindua msimu huu katika hoteli ya Kebby’s ilioko maeneo ya Mwenge jijini Dar es Salaam. Viongozi wa BASATA pamoja na wa bia ya Kilimanjaro walizungumzia mabadiliko chanya katika mchakato wa mwaka huu ikiwa ni juhudi na hatua za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani