MGAHAWA WA BRAKE POINT CANIVOR WAZINDULIWA KWA SHAMRA KIBAO
Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mgahawa wa Brake Point Canivor, Daudi Machumu,(mwenye shati la drafti) akiwa kwenye pozi na wadau wa bia ya Windhoek na wengineo.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLSEMINA YA SHIGONGO ILIVYOHITIMISHWA KWA SHAMRA KIBAO
10 years ago
GPL08 Apr
10 years ago
GPL09 Apr
10 years ago
GPLWASTARA ASHEREHEKEA ‘BETHIDEI’ YAKE KWA SHAMRA KIBAO
9 years ago
Habarileo03 Sep
Mnara wenye mgahawa wazinduliwa Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein amezindua Mnara wa Kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
10 years ago
Bongo513 Dec
Picha: Mgahawa mpya ‘VVK’ wa Khadija Mwanamboka wazinduliwa jijini Dar
10 years ago
Dewji Blog25 Jun
Komredi Kinana alakiwa kwa shamra shamra za sungusungu jimbo la Kwimba
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akilakiwa na Kikundi cha Ulinzi wa Jadi cha Sungusungu, alipowasili katika Kijiji cha Hungumalwa njaia panda ya Mwamashinga alipoanza ziara Jimbo la Kwimba, mkoani Mwanza, ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi pamoja na kusikiliza kero za Wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.(PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG)
Komredi Kinana akivishwa kofia ya jadi ya Sungusungu wakati wa mapokezi wilayani Kwimba.
10 years ago
GPLKOMREDI KINANA ALAKIWA KWA SHAMRA SHAMRA ZA SUNGUSUNGU JIMBO LA KWIMBA
10 years ago
Dewji Blog07 Jun
Wananchi wa mkoa wa Lindi wajitokeza kwa wingi usiku wa shamra shamra za “Twende na Membe”
![](http://4.bp.blogspot.com/-09pu1e-KpwU/VXOGF3JbPJI/AAAAAAABhGY/iwiaCoX5z0U/s640/IMG_1984.jpg)
Shamra shamra za kutangaza nia ya kuwania urais zaendelea kunoga mjini Lindi ambapo leo June 6 kuamkia June 7, 2015 ambapo Mheshimiwa Bernard Membe atakuwa anatangaza nia ya Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2015. Wananchi wamejitokeza kwa wingi huku msanii mzee Yusuph na kikundi cha ngoma ya Deda wakitoa burudani ya kijadi.
![](http://4.bp.blogspot.com/-Byvk5GOyKag/VXOGIkYOzvI/AAAAAAABhGg/2uB3QA03ORQ/s640/IMG_1990.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-mxN7gM24wqM/VXOGKLBs9zI/AAAAAAABhGo/UrPTe6QraOA/s640/IMG_1992.jpg)
Wananchi waliojitokeza katika Shamra Shamra za kumpokea kesho Mheshimiwa Bernard Membe wakati atakapotangaza nia ya Urais 2015.
![](http://4.bp.blogspot.com/-mVtN5PbBYsA/VXOGCC0zuwI/AAAAAAABhGE/M6ALoAm5v9Q/s640/IMG_1960.jpg)
![IMG_1957](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/06/IMG_1957.jpg)
![IMG_2037](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/06/IMG_2037.jpg)
![IMG_2047](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/06/IMG_2047.jpg)