SEMINA YA SHIGONGO ILIVYOHITIMISHWA KWA SHAMRA KIBAO
Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers Ltd akihojiwa na wanahabari katika hitimisho lake kuhusu semina ujasiriamali kwenye uwanja wa Shule ya Msingi Tandale. Shigongo akielezea namna semina hiyo itakavyowanufaisha wengi. Diamond akitoa burudani baada ya kuzungumza na wakazi wa Tandale.……
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL08 Apr
10 years ago
GPL09 Apr
10 years ago
GPLMGAHAWA WA BRAKE POINT CANIVOR WAZINDULIWA KWA SHAMRA KIBAO
10 years ago
GPLWASTARA ASHEREHEKEA ‘BETHIDEI’ YAKE KWA SHAMRA KIBAO
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/SHIGONGO-TCRA-SACCOS-8.jpg)
SHIGONGO ATOA SEMINA YA UJASIRIAMALI KWA WANACHAMA WA TCRA SACCOS
10 years ago
Dewji Blog25 Jun
Komredi Kinana alakiwa kwa shamra shamra za sungusungu jimbo la Kwimba
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akilakiwa na Kikundi cha Ulinzi wa Jadi cha Sungusungu, alipowasili katika Kijiji cha Hungumalwa njaia panda ya Mwamashinga alipoanza ziara Jimbo la Kwimba, mkoani Mwanza, ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi pamoja na kusikiliza kero za Wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.(PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG)
Komredi Kinana akivishwa kofia ya jadi ya Sungusungu wakati wa mapokezi wilayani Kwimba.
10 years ago
GPLKOMREDI KINANA ALAKIWA KWA SHAMRA SHAMRA ZA SUNGUSUNGU JIMBO LA KWIMBA
10 years ago
Dewji Blog07 Jun
Wananchi wa mkoa wa Lindi wajitokeza kwa wingi usiku wa shamra shamra za “Twende na Membe”
![](http://4.bp.blogspot.com/-09pu1e-KpwU/VXOGF3JbPJI/AAAAAAABhGY/iwiaCoX5z0U/s640/IMG_1984.jpg)
Shamra shamra za kutangaza nia ya kuwania urais zaendelea kunoga mjini Lindi ambapo leo June 6 kuamkia June 7, 2015 ambapo Mheshimiwa Bernard Membe atakuwa anatangaza nia ya Kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2015. Wananchi wamejitokeza kwa wingi huku msanii mzee Yusuph na kikundi cha ngoma ya Deda wakitoa burudani ya kijadi.
![](http://4.bp.blogspot.com/-Byvk5GOyKag/VXOGIkYOzvI/AAAAAAABhGg/2uB3QA03ORQ/s640/IMG_1990.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-mxN7gM24wqM/VXOGKLBs9zI/AAAAAAABhGo/UrPTe6QraOA/s640/IMG_1992.jpg)
Wananchi waliojitokeza katika Shamra Shamra za kumpokea kesho Mheshimiwa Bernard Membe wakati atakapotangaza nia ya Urais 2015.
![](http://4.bp.blogspot.com/-mVtN5PbBYsA/VXOGCC0zuwI/AAAAAAABhGE/M6ALoAm5v9Q/s640/IMG_1960.jpg)
![IMG_1957](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/06/IMG_1957.jpg)
![IMG_2037](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/06/IMG_2037.jpg)
![IMG_2047](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/06/IMG_2047.jpg)
10 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-09pu1e-KpwU/VXOGF3JbPJI/AAAAAAABhGY/iwiaCoX5z0U/s640/IMG_1984.jpg)
WANANCHI WA MKOA WA LINDI WAJITOKEZA KWA WINGI USIKU WA SHAMRA SHAMRA ZA TWENDE NA MEMBE