Msimu wa pili wa tamthilia ya Empire kuanza kesho
Mifarakano ya kifamilia, mapenzi na harakati za kushika hatamu ziliifanya tamthilia ya hip hop ya Empire kuangaliwa zaidi kwenye kituo cha runinga cha Fox mwaka huu. Na sasa watazamaji wategemee uhondo zaidi kwenye msimu wa pili. “Kama msimu wa kwanza ulijengwa kwenye mazingira ya nani atarithi kitu cha enzi, msimu wa pili ni falme zenye […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo505 Oct
Idadi ya watazamaji wa Tamthilia ya Empire yapungua kwenye episode ya pili, 50 Cent ampiga dongo Cookie
Tamthilia ya Empire ilianza msimu wake wa pili kwa kishindo kwa kuvunja rekodi ya Fox kwa kupata watazama zaidi ya milioni 16 katika episode ya kwanza iliyoruka Sept.23. Hata hivyo watazamaji wa episode ya pili iliyoruka Jumatano iliyopita wamepungua kutoka milioni 16 waliotazama episode 1 hadi kufikia milioni 13.7 walitazama episode 2, japo bado ni […]
10 years ago
Dewji Blog03 Dec
Msimu wa pili wa tamthilia Siri ya Mtungi wazinduliwa
Na Mwandishi Wetu
Msimu wa pili wa tamthilia ya Siri ya Mtungi...
10 years ago
Bongo502 Dec
Picha: Msimu wa pili wa tamthilia ya ‘Siri ya Mtungi’ wazinduliwa Dar
Msimu wa pili wa Tamthilia ya ‘Siri ya Mtungi’, leo umezinduliwa jijini Dar es Salaam ambapo utaanza kuoneshwa rasmi Jumapili, December 7 katika vituo mbalimbali vya runinga. Mtayarishaji wa tamthilia ya Siri ya Mtungi, Louise Kamin akizungumza na waandishi wa habari Akizungumza na waandishi wa habari ndani ya ukumbi wa Hadees Fast Food uliopo Posta […]
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-uIwpp9KqUYU/VH2hFkXI9TI/AAAAAAAG0wg/tnm8I_5UyD4/s72-c/unnamed%2B(50).jpg)
Msimu wa pili wa tamthilia Siri ya Mtungi Wazinduliwa, kuonekana TBC
Msimu wa pili wa tamthilia ya Siri ya Mtungi itazinduliwa rasmi Desemba 7 kupitia televisheni ya Taifa (TBC). Akizungumza jijini leo mtayarishaji wa tamthilia hiyo, Louise Kamin kutoka Shirika Lisilo la Kiserikali la Media for Development International Tanzania (MFDI-TZ) alisema kuwa sehemu ya pili ya tamthilia hii inakamilisha Siri ya Mtungi kufuatia msisimko mkubwa wa msimu wa kwanza. Kamin alisema kuwa kukamilika kwa hatua ya pili kunatokana na udhamini mnono wa the John Hopkins...
9 years ago
Bongo525 Sep
Tamthilia ya Empire yarejea kwa kishindo, yavunja rekodi ya Fox ya miaka sita, ushoga wawa maradufu!
Tamthilia ya Empire imerejea kwenye msimu wake wa pili kwa kishindo Jumatano hii. Show hiyo imetazamwa na watu milioni 16.18 na kuifanya kuwa season mpya iliyoangaliwa zaidi kwenye kituo cha runinga cha Fox tangu tamthilia ya House mwaka 2009. Hiyo ni habari njema kwa Fox kwakuwa The Hollywood Reporter imeripoti kuwa tangazo la sekunde 30 […]
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-ucNeSo821Uo/Xph5-pLvMOI/AAAAAAABMAM/L9NcHzV_vBA7PVHuwCiw_JS7omceL8_rwCLcBGAsYHQ/s72-c/f2c70339-aa23-4cbc-9db9-7f8aabf8daca.jpg)
UWEKAJI WAZI NA UBORESHAJI WA DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI KUANZA KESHO APRILI 17 KATIKA MIKOA 12
![](https://1.bp.blogspot.com/-ucNeSo821Uo/Xph5-pLvMOI/AAAAAAABMAM/L9NcHzV_vBA7PVHuwCiw_JS7omceL8_rwCLcBGAsYHQ/s400/f2c70339-aa23-4cbc-9db9-7f8aabf8daca.jpg)
Mwenyekiti wa NEC, Jajia mstaafu Semistocles Kaijage
Na Richard Mwaikenda
UWEKAJI wazi wa Daftari la Awali na Uboreshaji wa Daftari Wapiga Kura Awamu ya Pili, unaanza rasmi kesho Ijumaa 17 Aprili, 2020. na kukamilika Mei 4, 2020 kwa Nchi nzima.
Hayo yametangazwa hivi karibuni na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu, Semistocles Kaijage (pichani) wakati wa mkutano na viongozi wa vyama vya siiasa na wadau wengine kwenye Ukumbi wa Mikutano wa...
10 years ago
Bongo528 Jan
Nick wa Pili: Maisha uyaonayo kwenye tamthilia au video za muziki ni feki yasikupe stress
Rapper wa kundi la Weusi, Nick wa Pili amewaasa vijana kuacha kuiga maisha ya mastaa mbalimbali wanayoyaona kwenye TV au mitandao ya kijamii kwakuwa si ya kweli na yanapotosha. Kupitia ukurusa wake wa Instagram, Nick ameandika: Maisha sasa yametawaliwa na, taarifa potofu ambazo zina aribu, mapenzi, familia , na maadili….taarifa nyingi zinatoka kwa media…(magazeti, tv, […]
11 years ago
BBCSwahili02 Feb
Mjadala wa Mwisho wa Msimu wa Pili
Huu ni mjadala unaoangazia uwajibikaji, mizozo, ushirikiano na utekelezaji katika kaunti.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania