Idadi ya watazamaji wa Tamthilia ya Empire yapungua kwenye episode ya pili, 50 Cent ampiga dongo Cookie
Tamthilia ya Empire ilianza msimu wake wa pili kwa kishindo kwa kuvunja rekodi ya Fox kwa kupata watazama zaidi ya milioni 16 katika episode ya kwanza iliyoruka Sept.23. Hata hivyo watazamaji wa episode ya pili iliyoruka Jumatano iliyopita wamepungua kutoka milioni 16 waliotazama episode 1 hadi kufikia milioni 13.7 walitazama episode 2, japo bado ni […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo522 Sep
Msimu wa pili wa tamthilia ya Empire kuanza kesho
Mifarakano ya kifamilia, mapenzi na harakati za kushika hatamu ziliifanya tamthilia ya hip hop ya Empire kuangaliwa zaidi kwenye kituo cha runinga cha Fox mwaka huu. Na sasa watazamaji wategemee uhondo zaidi kwenye msimu wa pili. “Kama msimu wa kwanza ulijengwa kwenye mazingira ya nani atarithi kitu cha enzi, msimu wa pili ni falme zenye […]
10 years ago
Bongo528 Jan
Nick wa Pili: Maisha uyaonayo kwenye tamthilia au video za muziki ni feki yasikupe stress
Rapper wa kundi la Weusi, Nick wa Pili amewaasa vijana kuacha kuiga maisha ya mastaa mbalimbali wanayoyaona kwenye TV au mitandao ya kijamii kwakuwa si ya kweli na yanapotosha. Kupitia ukurusa wake wa Instagram, Nick ameandika: Maisha sasa yametawaliwa na, taarifa potofu ambazo zina aribu, mapenzi, familia , na maadili….taarifa nyingi zinatoka kwa media…(magazeti, tv, […]
10 years ago
GPLMLELA AMPIGA DONGO NORA
Stori Mwandishi Wetu
KUFUATIA madai ya hivi karibuni ya mkongwe wa filamu Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’ kuwa baadhi ya waigizaji hawana sifa za kuwa wacheza sinema zaidi ya kuuza sura, msanii Yusuph Mlela amempa dongo zito akisema licha ya umri kuwa mkubwa, pia ana matatizo flani yanayomsumbua. Msanii wa filamu Bongo, Yusuph Mlela.
“Nora naona siyo kosa lake kwani alishaugua yule, isitoshe ameshakuwa...
11 years ago
Mwananchi17 Jan
Loga ampiga dongo Mdachi
>Kocha wa Simba, Zdravco Logarusic amesema hawezi kupoteza muda kwa kupigana vijembe na kocha wa Yanga, Mdachi Hans Van Der Pluijim, atamshushia heshima kwa kuhakikisha anatwaa ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu.
10 years ago
VijimamboMwigizaji Yusuph Mlela Ampiga Dongo Nora Amwita Kibibi
KUFUATIA madai ya hivi karibuni ya mkongwe wa filamu Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’ kuwa baadhi ya waigizaji hawana sifa za kuwa wacheza sinema zaidi ya kuuza sura, msanii Yusuph Mlela amempa dongo zito akisema licha ya umri kuwa mkubwa, pia ana matatizo flani yanayomsumbua.“Nora naona siyo kosa lake kwani alishaugua yule, isitoshe ameshakuwa bibi hivyo nimemsamehe na sina tatizo naye kwani najua, lingekuwa jambo la maana kama angetufuata na kutushauri kama mkongwe lakini si kwa njia...
9 years ago
Bongo525 Sep
Tamthilia ya Empire yarejea kwa kishindo, yavunja rekodi ya Fox ya miaka sita, ushoga wawa maradufu!
Tamthilia ya Empire imerejea kwenye msimu wake wa pili kwa kishindo Jumatano hii. Show hiyo imetazamwa na watu milioni 16.18 na kuifanya kuwa season mpya iliyoangaliwa zaidi kwenye kituo cha runinga cha Fox tangu tamthilia ya House mwaka 2009. Hiyo ni habari njema kwa Fox kwakuwa The Hollywood Reporter imeripoti kuwa tangazo la sekunde 30 […]
11 years ago
Mwananchi31 May
Idadi ya wachangiaji damu yapungua
Ofisi ya Taifa ya Mpango wa Damu Salama imesema inakabiliwa na changamoto kubwa ya kupungua idadi ya wanafunzi wa sekondari wanaojitolea kuchangia damu kutokana na wengi wao kutokidhi umri wa kuchangia damu kwa mujibu wa sheria.
10 years ago
Mwananchi07 Oct
‘Idadi ya wanafunzi elimu ya juu yapungua’
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) imesema kuna upungufu wa wanafunzi zaidi ya 50,000 wanaohitajika kujiunga na elimu ya juu kwa mwaka wa masomo 2014/15.
9 years ago
Bongo530 Sep
50 Cent aongezewa shavu na Starz, ni baada ya tamthilia ya Power kuwa na mafanikio makubwa
Rapper Curtis “50 Cent” Jackson amesaini mkataba mpya wa miaka miwili na kituo cha runinga cha Starz baada ya tamthilia ya Power anayoitayarisha kupata mafanikio makubwa. Kupitia mkataba huo, 50 atatengeneza miradi mipya kupitia kampuni yake G Unit Film & Television, Inc. na kuendelea kuwa mtayarishaji mkuu wa tamthilia ya “Power.” Msimu wa tatu wa […]
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania