MCHAKATO WA KUWAPATA WASHINDI KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2014 WAENDELEA

Kampuni ya TBL leo imekutana na wanahabari kuzungumzia mwenendo wa mchakato wa kuwapata washindi wa vipengele vya tuzo za Tanzania - Kilimanjaro Tanzania Music Award (KTMA). (VIDEO: PATRICK BUZOHERA / GLOBAL TV…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
Orodha kamili ya washindi wa Kilimanjaro Tanzania Music Awards 2013



1.Wimbo bora wenye vionjo vya asili ya Tanzania ilichukuliwa na wimbo wa Bora Mchawi (Dar Bongo Massive). 2.Msanii Bora chipukizi (Young Killer). 3. Wimbo bora wa Zouk...
11 years ago
GPL
A-Z YA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2014 MLIMANI CITY JIJINI DAR
Mshindi wa tuzo saba za KTMA Diamond akikabidhiwa tuzo na staa wa filamu Bongo, Vincent Kigosi 'Ray'. ...Akikabidhiwa tuzo na mchumba wake Wema Sepetu.…
11 years ago
Michuzi
MSIMU WA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2014 WAZINDULIWA RASMI LEO JIJINI DAR

Mkutano na wana habari za michezo na burudani kutoka vyombo mbali mbali ndio umezindua msimu huu katika hoteli ya Kebby’s ilioko maeneo ya Mwenge jijini Dar es Salaam. Viongozi wa BASATA pamoja na wa bia ya Kilimanjaro walizungumzia mabadiliko chanya katika mchakato wa mwaka huu ikiwa ni juhudi na hatua za...
11 years ago
Michuzi
TBC yaanza mchakato wa kuwapata washindi watano wa kwenda kuangalia michezo ya Kombe la Dunia nchini Brazil
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Clement Mshana akiwaeleza waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu mchakato wa kuwapata washindi watano watakaokwenda kuangalia michuano ya Kombe la Dunia nchini Brazil kupitia promosheni ya Kwea Pipa inayoendeshwa na TBC kwa kushirikiana na makampuni ya Push Mobile Media Ltd na Star Times Ltd. Kushoto ni Naibu Mkurugenzi Mkuu Masoko na Mauzo kutoka Star Times Jack Zhou na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Push Mobile Media...
11 years ago
GPL03 May
GEORGE KAVISHE AZUNGUMZIA MAANDALIZI YA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS (KTMA) 2014 YANAYOFANYIKA LEO MLIMANI CITY JIJINI DAR ES SALAAM
Meneja wa kilaji cha Kilimanjaro Lager wa TBL Bw. George Kavishe azungumzia maandalizi ya Tuzo za Kili Music Awards zitazotolewa leo May 3, 2014 kuanzia saa tatu usiku katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam.
11 years ago
Michuzi03 May
George kavishe azungumzia maandalizi ya Kilimanjaro Tanzania music Awards (KTMA) 2014 yanayofanyika leo mlimani City jijini Dar es salaam
Meneja wa kilaji cha Kilimanjaro Lager wa TBL Bw. George Kavishe azungumzia maandalizi ya Tuzo za Kili Music Awards zitazotolewa leo May 3, 2014 kuanzia saa tatu usiku katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam
11 years ago
GPL
WASHINDI WA TUZO ZA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC NI HAWA
1. WIMBO BORA WENYE VIONJO VYA ASILI YA TANZANIA - B ora Mchawi, Dar Bongo Massive 2. MSANII BORA CHIPUKIZI ANAYEIBUKA - Young Killer 3. WIMBO BORA WA ZOUK - Yahaya, Lady Jaydee
4. WIMBO BORA WA AFRO POP - Number One, Diamond Platnumz…
11 years ago
GPL
10 years ago
Dewji Blog09 May
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania