Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Madiwani Itilima wakataa miradi

MIRADI 60 ya hifadhi mazingira iliyopo katika vijiji 8  vya Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu yenye thamani ya sh bilioni moja  imekataliwa na madiwani wa wilaya hiyo. Miradi  hiyo mikubwa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Madiwani Temeke wakataa madarasa Chamazi

BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Temeke wamekataa jengo la madarasa manne la Shule ya Sekondari Chamazi kuitwa jina la Rais Jakaya Kikwete kutokana na kujengwa chini ya kiwango. Akizungumza...

 

10 years ago

Habarileo

Ataka madiwani wakague miradi

MADIWANI halmashauri ya wilaya ya Songea vijijini mkoani Ruvuma, wamehimizwa kukagua miradi ya maendeleo ili kukabiliana na makandarasi ambao si waaminifu ambao hutekeleza miradi chini ya kiwango.

 

10 years ago

Vijimambo

Madiwani wa Manispaa ya Lindi watembelea miradi ya UTT-PID

Mkurugenzi Mkuu wa UTT-PID, Dk. Gration Kamugisha (kulia) akielezea juu ya Taasisi hiyo juu ya utendaji wa kazi zake hapa Nchini, kushoto kwake ni Naibu Meya wa Manispaa ya Lindi, Amida Abdallah na pichani chini kulia ni Mstahiki Mstahiki Meya wa manispaa ya Lindi, Frank Magali.Baadhi ya Madiwani wa Manispaa ya Lindi, wakiendelea na mafunzo hayo kutoka kwa maofisa wa UTT-PID (hawapo pichani).Baadhi ya Madiwani kutoka Halmashahuri ya Lindi wakifuatilia mafunzo ya elimu juu ya ufanyaji wa kazi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Madiwani wa Manispaa ya Lindi watembelea miradi ya UTT-PID

Mkurugenzi Mkuu wa UTT-PID, Dk. Gration Kamugisha (kulia) akielezea juu ya Taasisi hiyo juu ya utendaji wa kazi zake hapa Nchini, kushoto kwake ni Naibu Meya wa Manispaa ya Lindi, Amida Abdala

Mkurugenzi Mkuu wa UTT-PID, Dk. Gration Kamugisha (kulia) akielezea juu ya Taasisi hiyo juu ya utendaji wa kazi zake hapa Nchini, kushoto kwake ni Naibu Meya wa Manispaa ya Lindi, Amida Abdallah na pichani chini kulia ni Mstahiki Mstahiki Meya wa manispaa ya Lindi, Frank Magali.

UTT-PID

Baadhi ya Madiwani wa Manispaa ya Lindi, wakiendelea na mafunzo hayo kutoka kwa maofisa wa UTT-PID (hawapo pichani)

Baadhi ya Madiwani wa Manispaa ya Lindi, wakiendelea na mafunzo hayo kutoka kwa maofisa wa UTT-PID (hawapo pichani).

Baadhi ya Madiwani kutoka Halmashahuri ya Lindi wakifuatilia mafunzo ya elimu juu ya ufanyaji wa kazi wa UTT-PID

Baadhi ya Madiwani kutoka Halmashahuri ya Lindi wakifuatilia mafunzo ya elimu juu ya ufanyaji...

 

5 years ago

Michuzi

MADIWANI KINONDONI WAMPONGEZA MEYA SITTA, MKURUGENZI KAGURUMJULI KWA KUFANYA VIZURI KWENYE MIRADI YA MAENDELEO

Baraza la madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni limewapongeza Mhe. Mstahiki Meya Benjamini Sitta pamoja na Mkurugenzi Bwana Aron Kagurumjuli kwa kutekeleza miradi mikubwa katika kipindi cha miaka mitano ya utendaji wao wa kazi.

Pongezi hizo zimetolewa na Madiwani hao wakati wa kikao cha Baraza la madiwani robo ya tatu ya mwaka ambapo wamesema kuwa katika kipindi ambacho wamekuwa madiwani wameshuhudia miradi mikubwa ambayo imetekelezwa ikiwa ni juhudi kubwa zinazofanywa na viongozi...

 

9 years ago

Vijimambo

Mama Suluhu Hassani 'Atetemesha' Jimbo la Itilima, Simiyu

Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) akizungumza na wanachama wa CCM pamoja na wananchi wa Jimbo la Itilima kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM Mkoa wa Simiyu. Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wanachama wa CCM na wananchi baada ya kumsimamisha Kata ya Lamadi alipokuwa akielekea kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM Mkoani Simiyu. Sehemu ya wananchi...

 

9 years ago

Michuzi

MBUNGE WA ITILIMA, NJARU SILANGA AENDELEA NA KAMPENI KATIKA JIMBO LAKE

Mgombea ubunge jimbo la Itilima (Bariadi Mashariki ) Njalu Silanga akiwa katika mikutano ya kampeni katika vijiji vya Zanzui, Mlimani, Sasago na Kabale.

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI AFANYA MIKUTANO YA KAMPENI WILAYA YA BUSEGA,BARIADI,ITILIMA NA MEATU MKOANI SIMIYU LEO.

 Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli aliyenyanyua kofia (katikati) akiwasili katika uwanja wa  CCM mjini Bariadi kwa ajili ya kuwahutubia kwenye mkutano wa kampeni mkoani Simiyu. Wananchi wakishangilia kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni mjini Bariadi  Wananchi wa Nanga wilaya ya Itilima wakishangilia ujio wa Mgombea Urais wa CCM,Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akipita kuwasalimia  Umati wa wakazi wa kijiji cha Mwanhunzi wilaya ya Meatu wakiwa wamekusanyika kwenye mkutano wa kampeni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani