Mama Suluhu Hassani 'Atetemesha' Jimbo la Itilima, Simiyu
![](http://4.bp.blogspot.com/-oYwspnpC2xI/Vg776_w1m_I/AAAAAAAAEao/bBt0WY-m4xw/s72-c/IMG_0459.jpg)
Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan (hayupo pichani) akizungumza na wanachama wa CCM pamoja na wananchi wa Jimbo la Itilima kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM Mkoa wa Simiyu.
Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wanachama wa CCM na wananchi baada ya kumsimamisha Kata ya Lamadi alipokuwa akielekea kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni za CCM Mkoani Simiyu.
Sehemu ya wananchi...
Vijimambo