Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MBUNGE WA ITILIMA, NJARU SILANGA AENDELEA NA KAMPENI KATIKA JIMBO LAKE

Mgombea ubunge jimbo la Itilima (Bariadi Mashariki ) Njalu Silanga akiwa katika mikutano ya kampeni katika vijiji vya Zanzui, Mlimani, Sasago na Kabale.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MBUNGE WA JIMBO LA TEMEKE ABBAS MTEMVU ATOWA MADAWATI 270 KWA SEKONDARI ZA JIMBO LAKE


 Baadhi ya madawati 270 yaliyonunuliwa na Mbunge wa Jimbo la Temeke kwa Shule za Sekondari zilizopo Jimboni kwake ambapo madawati 100 yalikwisha chukuliwa kupelekea jumla ya madawati 300 yenye jumla ya Sh. Mil 60  Mbunge wa Jimbo la  Temeke, Abbas Mtemvu akikabidhi madawati na  Mkuu wa Chuo cha Mafunzo na Ufundi Stadi (Veta) , Samuel Ng'andu, Dar es Salaam jana, baada ya mbunge huyo kuamua kununua madawati 270 kwa ajili ya shule za sekondari zilizopo Jimboni kwake akiongozana na...

 

9 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF AENDELEA N KAMPENI JIMBO LA CHAANI

Na: Hassan Hamad (OMKR) Chama Cha Wananchi CUF kimewahakikishia wakulima wa mwani bei nzuri ya zao hilo iwapo wananchi watakipa ridhaa ya kuingia madarakani katika uchaguzi mkuu ujao. Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Chama hicho Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ameeleza hayo wakati akiwahutubia wafuasi wa chama hicho katika mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja vya Kandwi jimbo la Chaani. Amesema kwa muda mrefu wakulima wa mwani wamekuwa wakiishi maisha duni kutoka bei ndogo ya kilimo hicho...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mbunge wa jimbo la Morogoro mjini aendelea kutekeleza ilani ya CCM

   

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood akiongea ofisini kwake wakati akikabidhi Vifaa mbalimbali kwa wananchi wa Jimbo la Morogoro Mjini Ikiwa ni Utekelezaji wa Ahadi zake alizotoa Kipindi Akiomba kura ya Kuwa Mbunge wa Jimbo Hilo Pamoja za Ahadi anazotoa kwenye Mfululizo wa Ziara zake anazofanya Mara kwa mara katika Kata Mbalimbali za Jimbo la Morogoro Mjini.

IMG_0126

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Azizi Abood akikabidhi Mboa kwa Viongozi wa Msikiti kwajili ya Kumalizia...

 

10 years ago

GPL

MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO MJINI AENDELEA KUTEKELEZA ILANI YA CCM‏

 Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Aziz Abood akiongea ofisini kwake wakati akikabidhi Vifaa mbalimbali kwa wananchi wa Jimbo la Morogoro Mjini Ikiwa ni Utekelezaji wa Ahadi zake alizotoa Kipindi Akiomba kura ya Kuwa Mbunge wa Jimbo Hilo Pamoja za Ahadi anazotoa kwenye Mfululizo wa Ziara zake anazofanya Mara kwa mara katika Kata Mbalimbali za Jimbo la Morogoro Mjini.  Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Mh Azizi...

 

11 years ago

GPL

MGOMBEA UBUNGE GODFREY MGIMWA AENDELEA NA KAMPENI JIMBO LA KALENGA‏

Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga Kupitia Chama cha Mapinduzi Bw. Godfrey Mgimwa akishiriki kupiga ngoma ya asili ya Kihehe wakati alipowasili katika kijiji cha Kikombwe Kata ya Lwamgungwe katika jimbo la Kalenga Wilaya ya Iringa vijijini mkoani humo leo kwa ajili ya mkutano wa kampeni ambapo uchaguzi wa kuziba pengo la aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo Marehemu Dr. William Mgimwa utafanyika Machi 16 mwaka huu.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani