Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAALIM SEIF AENDELEA N KAMPENI JIMBO LA CHAANI

Na: Hassan Hamad (OMKR) Chama Cha Wananchi CUF kimewahakikishia wakulima wa mwani bei nzuri ya zao hilo iwapo wananchi watakipa ridhaa ya kuingia madarakani katika uchaguzi mkuu ujao. Mgombea Urais wa Zanzibar kwa Chama hicho Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ameeleza hayo wakati akiwahutubia wafuasi wa chama hicho katika mkutano wa kampeni uliofanyika viwanja vya Kandwi jimbo la Chaani. Amesema kwa muda mrefu wakulima wa mwani wamekuwa wakiishi maisha duni kutoka bei ndogo ya kilimo hicho...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

Maalim seif ahutubia mkutano wa kampeni katika uwanja wa Masumbani jimbo la Chumbuni,

Na Khamis Haji, OMKR Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Wananchi CUF, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad amesema akichaguliwa atakuza uwezo wa Serikali kujiongezea mapato na ataongeza kima cha chini cha mshahara hadi kufikia 400,000. Akihutubia mkutano wa hadhara wa kampeni katika uwanja wa Masumbani jimbo la Chumbuni, Maalim Seif amesema Sera ya CUF imeonesha maeneo mengi ya kukuza uchumi na kuziba mianya inayochangia kupotea mapato ya Serikali, hivyo hakuna kitakachozuia Serikali...

 

10 years ago

Vijimambo

Maalim Seif aendelea na ziara yake Nchini Qatar

  Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na ujumbe wa mamlaka ya uwekezaji (Qatar Holding) mjini Doha, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya siku nne nchini Qatar. Mkurugenzi wa maendeleo ya biashara wa mamlaka ya uwekezaji ya Qatar Sheikh Faisal Bin Soud Al-Thani, akizungumza na ujumbe wa Zanzibar ukiongozwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad mjini Doha.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad,...

 

10 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF AENDELEA NA ZIARA YA KIKAZI NCHINI UTURUKI

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akiweka sahihi kwenye kitabu cha wageni mashuhuri baada ya kufika kwenye jumba la makumbusho la Melvana nchini Uturuki. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akipata maelezo ndani ya jumba hilo. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akitembelea sehemu ya jumba hilo la makumbusho. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akitembelea hospitali...

 

11 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF AENDELEA NA ZIARA YAKE KISIWANI PEMBA

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na baadhi ya wananchi wa Wilaya ya Chake Chake wakati akiendelea na ziara yake ya kutembelea wagonjwa na wafiwa kisiwani Pemba leo. Ametembelea jumla ya wagonjwa wanane katika vijiji tofauti vya Wilaya hiyo vikiwemo, Chonga, Wesha, Ziwani, Wawi na Vitongoji Kibokoni.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad,akishiriki kwenye dua ya pamoja ya kuwaombea ndugu waliotangulia mbele ya haki...

 

10 years ago

Vijimambo

Maalim Seif aendelea na ziara ya kutembelea wagonjwa Mkoa wa Mjini Magharibi

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akipita mitaa ya Mjimkongwe kuendelea na ziara yake ya kutembelea wagonjwa katika Wilaya ya MjiniMakamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akipita mitaa ya Mjimkongwe kuendelea na ziara yake ya kutembelea wagonjwa katika Wilaya ya MjiniMakamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwajuilia hali na kuwafariji baadhi ya wagonjwa katika mitaa ya Jang’ombe, Nyerere na Kwamtipura...

 

11 years ago

Michuzi

maalim seif aendelea na ziara ya kuwatembelea na kuwafariji wagongwa, afutarisha masheikh Zanzibar

Na Hassan Hamad, OMKR  
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, leo ameendelea na ziara yake ya kuwatembelea na kuwafariji wagonjwa na wafiwa katika Mkoa wa Kusini Unguja. Ziara hii ni mfululizo wa ziara zake za kuwatembelea wagonjwa katika maeneo mbali mbali Unguja na Pemba katika Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan, ambapo Alkhamis iliyopita alitembelea Mkoa wa Kaskazini Unguja. Akiwafariji wagonjwa hao, Mhe. Maalim Seif amewaombea wapone haraka ili waweze kuendelea na...

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AUNGURUMA JIMBO LA MAALIM SEIF


Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akiweka kifaa cha umeme kwenye transfoma wakati wa uzinduzi wa uwekaji nguzo za umeme katika Kijiji cha Chanjaani, Jimbo la Mtambwe, Wilaya ya Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba, wakati wa ziara ya kuimarisha uhai wa chama na kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM, Zanzibar leo. Jimbo hilo ndilo alikozaliwa Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalimu Seif...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani