MAALIM SEIF AENDELEA NA ZIARA YA KIKAZI NCHINI UTURUKI
.jpg)
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akiweka sahihi kwenye kitabu cha wageni mashuhuri baada ya kufika kwenye jumba la makumbusho la Melvana nchini Uturuki.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akipata maelezo ndani ya jumba hilo.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akitembelea sehemu ya jumba hilo la makumbusho.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akitembelea hospitali...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
Maalim Seif aendelea na ziara yake Nchini Qatar



11 years ago
Michuzi.jpg)
MAALIM SEIF AENDELEA NA ZIARA YAKE KISIWANI PEMBA
.jpg)
.jpg)
.jpg)
11 years ago
MichuziMatukio mbalimbali ya ziara ya kikazi ya Mhe. Membe nchini Uturuki
10 years ago
Michuzi
MAALIM SEIF ZIARANI NCHINI UTURUKI

Ziara hiyo inafuatia mwaliko rasmi wa serikali ya Uturuki kupitia kwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo Mhe. Ahmet Davutoglu.
Kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa mjini Istanbul, Maalim Seif alipokelewa na Waziri wa Mambo ya nje wa nchi hiyo Mhe. Mevlut Cavusoglu.
Mbali ya kufanya mazungumzo na mwenyeji wake ambaye ni Waziri Mkuu wa Uturuki, Makamu wa Kwanza wa Rais wa...
10 years ago
VijimamboMaalim Seif aendelea na ziara ya kutembelea wagonjwa Mkoa wa Mjini Magharibi
11 years ago
Michuzi.jpg)
maalim seif aendelea na ziara ya kuwatembelea na kuwafariji wagongwa, afutarisha masheikh Zanzibar
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, leo ameendelea na ziara yake ya kuwatembelea na kuwafariji wagonjwa na wafiwa katika Mkoa wa Kusini Unguja. Ziara hii ni mfululizo wa ziara zake za kuwatembelea wagonjwa katika maeneo mbali mbali Unguja na Pemba katika Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan, ambapo Alkhamis iliyopita alitembelea Mkoa wa Kaskazini Unguja. Akiwafariji wagonjwa hao, Mhe. Maalim Seif amewaombea wapone haraka ili waweze kuendelea na...
10 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE MHE MAHADHI JUMA MAALIM AFANYA ZIARA YA KIKAZI NCHINI UFARANSA
10 years ago
Michuzi
Ziara ya Maalim Seif nchini Italy
11 years ago
Michuzi.jpg)
JK AENDELEA NA ZIARA YA KIKAZI MKOANI TANGA
.jpg)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtwisha ndoo ya maji Bibi Rukia Bakari muda mfupi baada ya kuzindua mradi wa maji katika kijiji cha Kwemhosi wilayani Muheza Mkoa wa Tanga leo.Mradi huo utavinufaisha vijiji vinane katika wilaya hiyo yenye uhaba mkubwa wa maji
.jpg)
.jpg)