Ziara ya Maalim Seif nchini Italy

Na Khamis Haji, Milan Italy Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amefungua milango kwa wafanyabiashra na wawekezaji wa Ulaya kutumia fursa nzuri za uzalishaji wa biashara za viungo na utalii nchini ili kuweza kufungua miradi yao. Amesema kwa miaka mingi Zanzibar imejulikana kama visiwa vya viungo (Spice Islands) kutokana na utajiri mkubwa wa mazao hayo, hali ambayo imechangia kukua kwa soko la utalii na kuimarisha uchumi wake. Maalim Seif amesema hayo alipokuwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
Maalim Seif awasili nchini akitokea Italy




10 years ago
Michuzi.jpg)
MAALIM SEIF AENDELEA NA ZIARA YA KIKAZI NCHINI UTURUKI
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
10 years ago
Vijimambo
Maalim Seif aendelea na ziara yake Nchini Qatar



10 years ago
Michuzi
Maalim Seif Ziarani Italy
10 years ago
MichuziMakamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad awasili nchini Qatar kwa ziara ya siku nne ya kiserikali.
10 years ago
Michuzi
MAALIM SEIF AHITIMISHA ZIARA YAKE UNGUJA



10 years ago
Michuzi
MAALIM SEIF KATIKA ZIARA YA MASOKONI UNGUJA



10 years ago
Vijimambo
MAALIM SEIF AHITIMISHA ZIARA YA KUTEMBELEA WAGONJWA




10 years ago
Habarileo11 Feb
Maalim Seif awasili Qatar ziara ya siku 4
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amewasili Doha nchini hapa kwa ziara rasmi ya kiserikali.