Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maalim Seif Ziarani Italy

Na Hassan Hamad, Milan, Italy Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amewasili Mjini Milan nchini Italy kwa ajili ya kuanza ziara rasmi ya kiserikali. Katika uwanja wa ndege wa Milan, Maalim Seif amepokelewa na Balozi wa Tanzania nchini Italy Dkt. James Msekela. Akiwa nchini Italy, Maalim Seif ambaye anamuwakilisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohamed Gharib Bilal kwenye maonyesho ya biashara ya kimataifa yanayofanyika Mjini Milan,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Ziara ya Maalim Seif nchini Italy

Na Khamis Haji, Milan Italy Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amefungua milango kwa wafanyabiashra na wawekezaji wa Ulaya kutumia fursa nzuri za uzalishaji wa biashara za viungo na utalii nchini ili kuweza kufungua miradi yao. Amesema kwa miaka mingi Zanzibar imejulikana kama visiwa vya viungo (Spice Islands) kutokana na utajiri mkubwa wa mazao hayo, hali ambayo imechangia kukua kwa soko la utalii na kuimarisha uchumi wake. Maalim Seif amesema hayo alipokuwa...

 

11 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF ZIARANI PEMBA

Na: Hassan Hamad (OMKR).
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ameelezea haja ya kuwashajiisha wakulima kulima kwa wingi mazao yanayopendwa zaidi na wananchi, ili kupunguza mfumko wa bei hasa katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Akitembelea masoko ya Chake Chake na Wete Kisiwani Pemba kuangalia bei za bidhaa mbali mbali zikiwemo za matunda, Maalim Seif amesema licha na kuwepo bidhaa nyingi lakini bei zake bado ziko juu ikilinganishwa na kipato cha wananchi.
Amesema...

 

10 years ago

GPL

MAALIM SEIF ZIARANI UTURUKI

Baadhi ya viongozi wa jumuiya za watembezaji watalii nchini Uturuki, wakimsikiliza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad (hayupo pichani) walipokutana naye kwa mazungumzo mjini Istanbul nchini Uturuki. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na viongozi wa jumuiya za watembezaji watalii nchini… ...

 

10 years ago

Vijimambo

Maalim Seif awasili nchini akitokea Italy

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, alipowasili uwanja wa ndege wa Zanzibar akitokea Italy tarehe 15/07/2015 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad,akisalimiana na viongozi wa serikali wakati alipowasili uwanja wa ndege wa Zanzibar akitokea Italy Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad,akisalimiana na viongozi wa serikali wakati alipowasili uwanja wa ndege wa Zanzibar akitokea ItalyMakamu wa Kwanza wa Rais...

 

10 years ago

Michuzi

MAALIM SEIF ZIARANI NCHINI UTURUKI

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, amewasili nchini Uturuki kwa ziara ya siku tatu ya kiserikali.
Ziara hiyo inafuatia mwaliko rasmi wa serikali ya Uturuki kupitia kwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo  Mhe. Ahmet Davutoglu.
Kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa mjini Istanbul, Maalim Seif alipokelewa na Waziri wa Mambo ya nje wa nchi hiyo Mhe. Mevlut Cavusoglu.
Mbali ya kufanya mazungumzo na mwenyeji wake ambaye ni Waziri Mkuu wa Uturuki, Makamu wa Kwanza wa Rais wa...

 

10 years ago

Michuzi

maalim seif ziarani Wilaya ya Kaskazini B unguja

Na Hassan Hamad, OMKR Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ameweka mawe ya msingi na kupandisha bendera katika matawi na barza sita za CUF ndani ya Jimbo Kitope Wilaya ya Kaskazini "B" Unguja.  Matawi na barza alizoweka mawe ya msingi ni pamoja na Kiombamvua, Mkaratini, Mgambo, Kilombero, Kipandoni na Kiwengwa Cairo. Hata hivyo, mkutano wa hadhara uliokuwa ufanyike katika viwanja vya Kipandoni umehairishwa, kwa madai kuwa haukupata kibali kutoka kwa jeshi la polisi.  Katibu Mkuu...

 

10 years ago

Vijimambo

Maalim Seif Awasili Zanzibar Akitokea Ziarani Nchi Qatar.

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na Marubani wa Ndege ya Serekali baada ya kuwasili uwanja wa Kamataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea Nchini Qatar alikokuwa na ziara ya Kiserekani Nchini humo.Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akivishwa shada la mauwa na Vijana walioandaliwa wakati wa mapokezi yake baada ya kumaliza ziara yake Nchi Qatar Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana...

 

11 years ago

Mwananchi

Balozi Seif amponda Maalim Seif

>Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,  Balozi Seif Idd ametangaza vita kwa mtu yeyote anayepanga njama za kuvuruga mchakato wa Rasimu ya Pili ya Katiba.

 

10 years ago

Mtanzania

‘Maalim Seif ni Popo’

maalim seif sharif hamad

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad

NA MAREGESI PAUL, DODOMA

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed (CUF), amemshambulia kwa maneno Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Maalim Seif Sharif Hamad, huku akimfananisha na popo.

Mbunge huyo alisema hayo baada ya kupewa nafasi na Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, akisema lengo ni kujibu mashambulizi yaliyoelezwa kwake na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani