Maalim Seif Awasili Zanzibar Akitokea Ziarani Nchi Qatar.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na Marubani wa Ndege ya Serekali baada ya kuwasili uwanja wa Kamataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akitokea Nchini Qatar alikokuwa na ziara ya Kiserekani Nchini humo.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akivishwa shada la mauwa na Vijana walioandaliwa wakati wa mapokezi yake baada ya kumaliza ziara yake Nchi Qatar
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-CIM8GytcDOw/VaeuZUhEphI/AAAAAAAB1pk/2Bb43KwoWtY/s72-c/1.bmp)
Maalim Seif awasili nchini akitokea Italy
![](http://3.bp.blogspot.com/-CIM8GytcDOw/VaeuZUhEphI/AAAAAAAB1pk/2Bb43KwoWtY/s640/1.bmp)
![](http://3.bp.blogspot.com/-0e3-DncLFMI/VaeuZgbM7FI/AAAAAAAB1ps/bBPuWvEMR9k/s640/4.bmp)
![](http://2.bp.blogspot.com/-OBv_eLFjLeM/VaeucWg4vdI/AAAAAAAB1p8/sntbA6TClzw/s640/5.bmp)
![](http://1.bp.blogspot.com/-JPczxIdJmc8/VaeuZlxjQBI/AAAAAAAB1po/85De3HvijOg/s640/2.bmp)
10 years ago
MichuziMakamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad awasili nchini Qatar kwa ziara ya siku nne ya kiserikali.
10 years ago
Habarileo11 Feb
Maalim Seif awasili Qatar ziara ya siku 4
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amewasili Doha nchini hapa kwa ziara rasmi ya kiserikali.
10 years ago
VijimamboMaalim Seif awasili Qatar kuanza ziara ya kiserikali
10 years ago
MichuziMaalim Seif afungua mkutano wa kimataifa wa siku nne wa muziki kwa nchi za jahazi, Zanzibar
BOFYA HAPA KWA HABARI...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1UL3ifpm7Lvhzgf2LTbezYsTWF7ah2HNw70soIXzDq1QeesAq7F5WPz9PgQAPaFxrzLSzBSlf3eZeN-kBZXIy1Mj5-trujtC/unnamed1.jpg?width=650)
MAALIM SEIF ZIARANI UTURUKI
11 years ago
MichuziMAALIM SEIF ZIARANI PEMBA
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ameelezea haja ya kuwashajiisha wakulima kulima kwa wingi mazao yanayopendwa zaidi na wananchi, ili kupunguza mfumko wa bei hasa katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Akitembelea masoko ya Chake Chake na Wete Kisiwani Pemba kuangalia bei za bidhaa mbali mbali zikiwemo za matunda, Maalim Seif amesema licha na kuwepo bidhaa nyingi lakini bei zake bado ziko juu ikilinganishwa na kipato cha wananchi.
Amesema...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Y_5NAPGfGi4/VaLxvCt8I1I/AAAAAAAHpPQ/N7yA3ryJE9k/s72-c/unnamed%2B%252815%2529.jpg)
Maalim Seif Ziarani Italy
5 years ago
CCM BlogRAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AWASILI ZANZIBAR AKITOKEA PEMBA BAADA YA KUMALIZA ZIARA YAKE YA SIKU TATU PEMBA.