Maalim Seif awasili Qatar kuanza ziara ya kiserikali
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Seif Sharif Hamad, akiwa na ujumbe wa SMZ mjini Doha kwa ajili ya kuanza ziara ya kiserikali nchini Qatar.
Mke wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mama Awena Sinani Massoud (kushoto), akiwa na viongozi wengine wa SMZ tayari kwa kuanza ziara nchini Qatar.
Waziri wa Nchi, ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Fatma Abdulhabib Ferej, akibadilishana mawazo na maofisa wa mambo ya nje, tayari kwa kuanza ziara nchini Qatar....
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMakamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad awasili nchini Qatar kwa ziara ya siku nne ya kiserikali.
10 years ago
Habarileo11 Feb
Maalim Seif awasili Qatar ziara ya siku 4
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amewasili Doha nchini hapa kwa ziara rasmi ya kiserikali.
10 years ago
VijimamboMaalim Seif Awasili Zanzibar Akitokea Ziarani Nchi Qatar.
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-IXmq_xQmLEM/VNuwS2o4-KI/AAAAAAABk0c/gnwBa22wf_w/s72-c/seif%2B1.jpg)
Maalim Seif aendelea na ziara yake Nchini Qatar
![](http://2.bp.blogspot.com/-IXmq_xQmLEM/VNuwS2o4-KI/AAAAAAABk0c/gnwBa22wf_w/s1600/seif%2B1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-a6cIxWAlkH0/VNuvqdSVgrI/AAAAAAABkz8/4qCPCQ2TZhE/s1600/seif%2B2.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-3Law98naFLc/VNuvqnQ8bMI/AAAAAAABk0A/ok9qwcFDr-E/s1600/seif%2B3.jpg)
10 years ago
VijimamboRais Kikwete awasili India kwa Ziara ya Kiserikali
10 years ago
MichuziMAALIM SEIF AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA QATAR
10 years ago
MichuziWaziri Mkuu awasili Qatar kwa ziara ya kikazi
Lengo la ziara ya Waziri Mkuu ni kukuza mahusiano baina ya nchi hizi mbili, kuangalia fursa za kiuchumi na miradi mikubwa inayoweza kuzinufaisha nchi hizo na nje ya mipaka yake kwenye Ghuba ya Arabuni (Arabian Gulf) na bara la Afrika.
Vile vile Waziri Mkuu anatarajiwa kutangaza fursa za uwekezaji nchini Tanzania,...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ZV_lMPRmu3Y/VNt19FcuOwI/AAAAAAAHDHI/ZpR0a34hah4/s72-c/unnamed%2B(10).jpg)
Maalim Seif akutana na uongozi wa mamlaka ya uwekezaji nchini Qatar
![](http://3.bp.blogspot.com/-ZV_lMPRmu3Y/VNt19FcuOwI/AAAAAAAHDHI/ZpR0a34hah4/s1600/unnamed%2B(10).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-a8LZYmyx4hc/VNt1862GcUI/AAAAAAAHDG8/SECenZnGlf8/s1600/unnamed%2B(11).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-mtKh80rUhFk/VNt19LMzMMI/AAAAAAAHDHA/2shiPdKJJPM/s1600/unnamed%2B(12).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-W2oCC02FsVY/VN248HR_q5I/AAAAAAAHDck/vGbh0PvTP3w/s72-c/unnamed%2B(26).jpg)
MAALIM SEIF AKUTANA NA WAZIRI WA NISHATI WA QATAR JIJINI DOHA