Rais Kikwete awasili India kwa Ziara ya Kiserikali
Mtoto wa kitanzania anayeishi nchini India Nasra Yahya mwenye umri wa miaka(11) akiwakaribisha kwa ua Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili jijini New Delhi India leo kwa ziara ya kiserikali(State Visit) ya siku nne.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mmoja wa wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini India Bwana Yahya Mhatta muda mfupi baada ya kuwasili jijini Delhi India leo.Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini India Mhandisi...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog18 Jun
Rais Kikwete aondoka nchini kwa ziara rasmi ya Kiserikali ya siku nne katika Jamhuri ya India
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete yuko njiani kwenda India ambako atafanya ziara rasmi ya Kiserikali ya siku nne katika Jamhuri ya India kwa mwaliko wa Rais wa India, Mheshimiwa Pranab Mukherjee. Ziara hiyo, inaanza rasmi jioni ya Jumatano, Juni 17, 2015.
Wakati wa ziara yake, Rais Kikwete ambaye anafuatana na Mama Salma Kikwete, mbali na kukutana na Rais Mukherjee kwa...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-i1PRnMk5kuQ/VYPvEKub11I/AAAAAAAHhXw/iNS9y-bBo4Q/s72-c/unnamed%2B%252816%2529.jpg)
RAIS KIKWETE KATIKA ZIARA YA KISERIKALI NCHINI INDIA
![](http://2.bp.blogspot.com/-i1PRnMk5kuQ/VYPvEKub11I/AAAAAAAHhXw/iNS9y-bBo4Q/s640/unnamed%2B%252816%2529.jpg)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma wakiweka shada katika kaburi la mpigania uhuru na muasisi wa taifa la India Mahatma Ghandi jijini New Delhi India leo asubuhi
![](http://2.bp.blogspot.com/-TN89xStosVU/VYPvhjxYpXI/AAAAAAAHhX4/noe0e-kLiIk/s640/unnamed%2B%252817%2529.jpg)
10 years ago
MichuziMakamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad awasili nchini Qatar kwa ziara ya siku nne ya kiserikali.
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-AFI3f3jMmDw/VE5Y4IkgvKI/AAAAAAAGtnc/M-RmI66grAY/s72-c/v5.jpg)
RAIS KIKWETE AWASILI VIETNAM KWA ZIARA RASMI YA SIKU MBILI
![](http://1.bp.blogspot.com/-AFI3f3jMmDw/VE5Y4IkgvKI/AAAAAAAGtnc/M-RmI66grAY/s1600/v5.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-VTWe6EFaus4/VE5Y4dJe4hI/AAAAAAAGtns/1SzCE5rkT2w/s1600/v6.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/--kXmash0fyo/VU6hmB5mKvI/AAAAAAADmkU/Itc_G-3U9OY/s72-c/a1.jpg)
RAIS KIKWETE AWASILI ALGIERS, ALGERIA, KWA ZIARA RASMI YA SIKU TATU
Rais was Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewasili mjini Algiers, mji mkuu wa Algeria, mchana wa leo, Jumamosi, Mei 9, 2015 kuanza ziara rasmi ya Kiserikali ya siku tatu katika nchi hiyo rafiki wa miaka mingi wa Tanzania kwa mwaliko wa Rais Abdelaziz Bouteflika.
Rais Kikwete amewasili katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Algeria akitokea New York, Marekani, ambako kwa wiki nzima amekuwa anaendesha vikao vya Jopo la Watu Mashuhuri Duniani ambao wanatafuta...
10 years ago
Dewji Blog02 Aug
Rais Kikwete arejea nyumbani baada ya ziara rasmi ya kiserikali nchini Australia
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Raymond Mushi katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam usiku wa Jumamosi Agosti 1, 2015 mara baada ya kurejea kutoka Australia kwa mwaliko rasmi wa Kiserikali kutoka kwa Gavana Mkuu wa nchi hiyo Mheshimiwa Peter Cosgrove.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Saidi Meck Sadik baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-o5WYUnYrxJM/VMZ_IgwyZoI/AAAAAAACWSw/WjmuCjnaJYM/s72-c/jk1.jpg)
RAIS KIKWETE AHANI MSIBA WA MFALME WA SAUDI ARABIA, AWASILI BERLIN, UJERUMANI, KWA ZIARA YA KIKAZI
![](http://4.bp.blogspot.com/-o5WYUnYrxJM/VMZ_IgwyZoI/AAAAAAACWSw/WjmuCjnaJYM/s640/jk1.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-LOVJApbTy7k/VMZ_FHFDbdI/AAAAAAACWSo/7IcpYiHp2hc/s640/jk4.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/pPk-GXrSMhY/default.jpg)
10 years ago
Dewji Blog28 Jul
Rais Kikwete afanya ziara ya kiserikali Australia, atembelea makumbusho ya vita na kuongea na jumuiya ya Watanzania
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa kijeshi wa Fairbairn mjini Canberra katika siku ya mwanzo ya ziara yake Rasmi ya siku nne ya Kiserikali nchini Australia.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitembezwa katika jumba la Makumbusho ya Taifa ya vita – Australian War Memorial – mjini Canberra zilikohifadhiwa kumbukumbu mbalimbali ambayo zinazoonesha jinsi Australia ilishiriki kwenye vita mbalimbali katika siku ya mwanzo ya...