Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS KIKWETE KATIKA ZIARA YA KISERIKALI NCHINI INDIA


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma wakiweka shada katika kaburi la mpigania uhuru na muasisi wa taifa la India Mahatma Ghandi jijini New Delhi India leo asubuhi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa na Waziri Mkuu wa India, Mheshimiwa Narendra Modi mara baada ya kuwasili Ikulu ya India kwa sherehe za ukaribisho wake rasmi nchini India kwa ajili ya ziara yake ya Kiserikali. Sherehe hizo zimefanyika asubuhi ya leo, Ijumaa, Juni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete aondoka nchini kwa ziara rasmi ya Kiserikali ya siku nne katika Jamhuri ya India

Jakaya-Kikwete1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete yuko njiani kwenda India ambako atafanya ziara rasmi ya Kiserikali ya siku nne katika Jamhuri ya India kwa mwaliko wa Rais wa India, Mheshimiwa Pranab Mukherjee. Ziara hiyo, inaanza rasmi jioni ya Jumatano, Juni 17, 2015.

Wakati wa ziara yake, Rais Kikwete ambaye anafuatana na Mama Salma Kikwete, mbali na kukutana na Rais Mukherjee kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete awasili India kwa Ziara ya Kiserikali

Mtoto wa kitanzania anayeishi nchini India Nasra Yahya mwenye umri wa miaka(11) akiwakaribisha kwa ua Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili jijini New Delhi India leo kwa ziara ya kiserikali(State Visit) ya siku nne.Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mmoja wa wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini India Bwana Yahya Mhatta muda mfupi baada ya kuwasili jijini Delhi India leo.Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini India Mhandisi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete arejea nyumbani baada ya ziara rasmi ya kiserikali nchini Australia

a1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Raymond Mushi katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam usiku wa Jumamosi Agosti 1, 2015 mara baada ya kurejea kutoka  Australia kwa mwaliko rasmi wa Kiserikali kutoka kwa Gavana Mkuu wa nchi hiyo  Mheshimiwa Peter Cosgrove.

a2

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Saidi Meck Sadik baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege...

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE KATIKA ZIARA YA KUAGA NCHINI KENYA

 Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto akiongozana na Balozi wa Tanzania nchini Kenya Mhe Haule wakisogea eneo la kupokelea wageni mashuhuri katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi Jumapili jioni Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto akisalimiana na kikundi cha kuimba Accapella  eneo la kupokelea wageni mashuhuri katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi Jumapili jioni
 Ndege la Shirika la Ndege la Air Tanzania iliyomchukua Rais Kikwete...

 

9 years ago

GPL

RAIS KIKWETE KATIKA ZIARA YA KUAGA NCHINI KENYA‏

 Rais Kikwete akishuka katika ndege  Rais Kikwete akilakiwa kwa furaha na Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto…

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AFANYA ZIARA YA KISERIKALI AUSTRALIA, ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA VITA NA KUONGEA NA JUMUIA YA WATANZANIA

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa kijeshi wa Fairbairn mjini Canberra katika siku ya mwanzo ya ziara yake Rasmi ya siku nne ya Kiserikali nchini Australia. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua na kutoa heshima katika kaburi la askari wa Australia wakati alipotembelea jumba la Makumbusho ya Taifa ya vita - Australian War Memorial - mjini Canberra zilikohifadhiwa kumbukumbu mbalimbali ambayo zinazoonesha jinsi Australia...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete afanya ziara ya kiserikali Australia, atembelea makumbusho ya vita na kuongea na jumuiya ya Watanzania

IMGL0066

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa kijeshi wa Fairbairn mjini Canberra katika siku ya mwanzo ya ziara yake Rasmi ya siku nne ya Kiserikali nchini Australia.

IMGL0158

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitembezwa katika jumba la Makumbusho ya Taifa ya vita  – Australian War Memorial – mjini Canberra zilikohifadhiwa  kumbukumbu mbalimbali ambayo zinazoonesha jinsi Australia ilishiriki kwenye vita mbalimbali  katika siku ya mwanzo ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani