Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete aondoka nchini kwa ziara rasmi ya Kiserikali ya siku nne katika Jamhuri ya India

Jakaya-Kikwete1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete yuko njiani kwenda India ambako atafanya ziara rasmi ya Kiserikali ya siku nne katika Jamhuri ya India kwa mwaliko wa Rais wa India, Mheshimiwa Pranab Mukherjee. Ziara hiyo, inaanza rasmi jioni ya Jumatano, Juni 17, 2015.

Wakati wa ziara yake, Rais Kikwete ambaye anafuatana na Mama Salma Kikwete, mbali na kukutana na Rais Mukherjee kwa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE KATIKA ZIARA YA KISERIKALI NCHINI INDIA


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma wakiweka shada katika kaburi la mpigania uhuru na muasisi wa taifa la India Mahatma Ghandi jijini New Delhi India leo asubuhi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa na Waziri Mkuu wa India, Mheshimiwa Narendra Modi mara baada ya kuwasili Ikulu ya India kwa sherehe za ukaribisho wake rasmi nchini India kwa ajili ya ziara yake ya Kiserikali. Sherehe hizo zimefanyika asubuhi ya leo, Ijumaa, Juni...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AONDOKA NCHINI VIETNAM BAADA YA KUHITIMISHA ZIARA RASMI YA SIKU MBILI NCHINI HUMO

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza (wa pili kushoto), Mbunge wa Ilala na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Mussa Azzan Zungu (kulia), Mbunge wa Tumbe Mhe Rashid Ally Abdallah (kushoto) na Balozi wa Tanzania nchini China Luteni Jenerali (Mst.) Abdulrahman Shimbo muda mfupi kabla ya kuanza safari ya kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku sita nchini...

 

10 years ago

Michuzi

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad awasili nchini Qatar kwa ziara ya siku nne ya kiserikali.

 Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Seif Sharif Hamad, akiwa na ujumbe wa SMZ mjini Doha kwa ajili ya kuanza ziara ya kiserikali nchini Qatar. Mke wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mama Awena Sinani Massoud (kushoto), akiwa na viongozi wengine wa SMZ tayari kwa kuanza ziara nchini Qatar.Waziri wa Nchi, ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Fatma Abdulhabib Ferej, akibadilishana mawazo na maofisa wa mambo ya nje, tayari kwa kuanza ziara nchini Qatar....

 

10 years ago

Vijimambo

Rais Kikwete awasili India kwa Ziara ya Kiserikali

Mtoto wa kitanzania anayeishi nchini India Nasra Yahya mwenye umri wa miaka(11) akiwakaribisha kwa ua Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili jijini New Delhi India leo kwa ziara ya kiserikali(State Visit) ya siku nne.Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mmoja wa wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania nchini India Bwana Yahya Mhatta muda mfupi baada ya kuwasili jijini Delhi India leo.Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini India Mhandisi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete arejea nyumbani baada ya ziara rasmi ya kiserikali nchini Australia

a1

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Raymond Mushi katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam usiku wa Jumamosi Agosti 1, 2015 mara baada ya kurejea kutoka  Australia kwa mwaliko rasmi wa Kiserikali kutoka kwa Gavana Mkuu wa nchi hiyo  Mheshimiwa Peter Cosgrove.

a2

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Saidi Meck Sadik baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege...

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE KATIKA SIKU YA PILI YA ZIARA YAKE RASMI NCHINI ALGERIA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na akifanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Algeria Mhe. Abdelaziz Bouteflika katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Algiers Jumapili May 10, 2015 katika siku ya pili ya ziara yake rasmi ya siku tatu nchini humo.Rais Jakaya Mrisho Kikwete na ujumbe wake akutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Algeria Mhe. Abdelaziz Bouteflika katika Ikulu ya nchi hiyo jijini Algiers Jumapili May 10, 2015 katika siku ya pili ya ziara yake rasmi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani