Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS KIKWETE KATIKA ZIARA YA KUAGA NCHINI KENYA‏

 Rais Kikwete akishuka katika ndege  Rais Kikwete akilakiwa kwa furaha na Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE KATIKA ZIARA YA KUAGA NCHINI KENYA

 Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto akiongozana na Balozi wa Tanzania nchini Kenya Mhe Haule wakisogea eneo la kupokelea wageni mashuhuri katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi Jumapili jioni Naibu Rais wa Kenya Mhe William Ruto akisalimiana na kikundi cha kuimba Accapella  eneo la kupokelea wageni mashuhuri katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi Jumapili jioni
 Ndege la Shirika la Ndege la Air Tanzania iliyomchukua Rais Kikwete...

 

10 years ago

GPL

ZIARA YA RAIS KIKWETE NCHINI UHOLANZI‏

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Watanzania waishio Uholanzi waliojitokeza kumlaki wakati akiwasili jijini The Hague, Uholanzi, Jumatatu Juni 8, 2015. Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Watanzania waishio Uholanzi waliojitokeza kumlaki wakati akiwasili jijini The Hague, Uholanzi, jana Jumatatu Juni 8, 2015.…

 

10 years ago

GPL

ZIARA YA RAIS KIKWETE NCHINI FINLAND NA SWEDEN‏

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na kufanya mazungumzomna Spika wa Bunge la Finland Mhe. Maria Lohela siku alipotembelea bunge la nchi hiyo. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mahojiano na wanahabari jijini Helsinki, Finland.…

 

10 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE KATIKA ZIARA YA KISERIKALI NCHINI INDIA


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma wakiweka shada katika kaburi la mpigania uhuru na muasisi wa taifa la India Mahatma Ghandi jijini New Delhi India leo asubuhi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akikaribishwa na Waziri Mkuu wa India, Mheshimiwa Narendra Modi mara baada ya kuwasili Ikulu ya India kwa sherehe za ukaribisho wake rasmi nchini India kwa ajili ya ziara yake ya Kiserikali. Sherehe hizo zimefanyika asubuhi ya leo, Ijumaa, Juni...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE ASAFIRI KWA TRENI YA TAZARA KATIKA ZIARA YAKE YA MKOA WA MOROGORO‏

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakipanda treni ya TAZARA kuelekea Kisaki Mkoani Morogoro akiwa katika ziara yake ya mkoa huo.…

 

10 years ago

Dewji Blog

Matukio mbalimbali katika picha ziara ya Rais Kikwete nchini Uholanzi

h (1)

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Watanzania waishio Uholanzi waliojitokeza kumlaki wakati akiwasili jijini The Hague, Uholanzi, leo Jumatatu Juni 8, 2015.

h (2)

h (3)

h (4)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo na muhtasari wa ziara yake toka kwa Balozi wa Tanzania nchini Uholani Mhe Wilson  Masilingi baada ya kuwasili The Hague leo Jumatatu Juni 8, 2015.

h (5)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya mafuta ya Shell Bw. Ben van Beurden jijini the Hague,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani