Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ataka madiwani wakague miradi

MADIWANI halmashauri ya wilaya ya Songea vijijini mkoani Ruvuma, wamehimizwa kukagua miradi ya maendeleo ili kukabiliana na makandarasi ambao si waaminifu ambao hutekeleza miradi chini ya kiwango.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Madiwani Itilima wakataa miradi

MIRADI 60 ya hifadhi mazingira iliyopo katika vijiji 8  vya Wilaya ya Itilima, mkoani Simiyu yenye thamani ya sh bilioni moja  imekataliwa na madiwani wa wilaya hiyo. Miradi  hiyo mikubwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Madiwani wa Manispaa ya Lindi watembelea miradi ya UTT-PID

Mkurugenzi Mkuu wa UTT-PID, Dk. Gration Kamugisha (kulia) akielezea juu ya Taasisi hiyo juu ya utendaji wa kazi zake hapa Nchini, kushoto kwake ni Naibu Meya wa Manispaa ya Lindi, Amida Abdala

Mkurugenzi Mkuu wa UTT-PID, Dk. Gration Kamugisha (kulia) akielezea juu ya Taasisi hiyo juu ya utendaji wa kazi zake hapa Nchini, kushoto kwake ni Naibu Meya wa Manispaa ya Lindi, Amida Abdallah na pichani chini kulia ni Mstahiki Mstahiki Meya wa manispaa ya Lindi, Frank Magali.

UTT-PID

Baadhi ya Madiwani wa Manispaa ya Lindi, wakiendelea na mafunzo hayo kutoka kwa maofisa wa UTT-PID (hawapo pichani)

Baadhi ya Madiwani wa Manispaa ya Lindi, wakiendelea na mafunzo hayo kutoka kwa maofisa wa UTT-PID (hawapo pichani).

Baadhi ya Madiwani kutoka Halmashahuri ya Lindi wakifuatilia mafunzo ya elimu juu ya ufanyaji wa kazi wa UTT-PID

Baadhi ya Madiwani kutoka Halmashahuri ya Lindi wakifuatilia mafunzo ya elimu juu ya ufanyaji...

 

10 years ago

Vijimambo

Madiwani wa Manispaa ya Lindi watembelea miradi ya UTT-PID

Mkurugenzi Mkuu wa UTT-PID, Dk. Gration Kamugisha (kulia) akielezea juu ya Taasisi hiyo juu ya utendaji wa kazi zake hapa Nchini, kushoto kwake ni Naibu Meya wa Manispaa ya Lindi, Amida Abdallah na pichani chini kulia ni Mstahiki Mstahiki Meya wa manispaa ya Lindi, Frank Magali.Baadhi ya Madiwani wa Manispaa ya Lindi, wakiendelea na mafunzo hayo kutoka kwa maofisa wa UTT-PID (hawapo pichani).Baadhi ya Madiwani kutoka Halmashahuri ya Lindi wakifuatilia mafunzo ya elimu juu ya ufanyaji wa kazi...

 

11 years ago

Habarileo

RC ataka madiwani wa Bukoba kumaliza tofauti

MKUU wa Mkoa wa Kagera, Fabian Massawe amewashauri madiwani wa Manispaa ya Bukoba kuondoa tofauti zao na kukaa pamoja kutengeneza mipango ya maendeleo ya wananchi wao.

 

11 years ago

Mwananchi

MALALAMIKO: Lembeli ataka madiwani wazembe Kahama wazomewe

>Mbunge wa Jimbo la Kahama, James Lembeli amewataka wananchi kuwazomea madiwani wazembe wasioleta maendeleo yaliyo ndani ya uwezo wao.

 

11 years ago

Mwananchi

DC ataka miradi isimamiwe

Mkuu wa Wilaya ya Bariadi,Mkoa wa Simiyu, Erasto Sima amewataka watendaji wa Serikali ngazi ya vijiji pamoja na wananchi, kusimamia kikamilifu miradi inayotekelezwa katika maeneo yao ili ikamilike kwa wakati na kwa ustadi.

 

5 years ago

Michuzi

MADIWANI KINONDONI WAMPONGEZA MEYA SITTA, MKURUGENZI KAGURUMJULI KWA KUFANYA VIZURI KWENYE MIRADI YA MAENDELEO

Baraza la madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni limewapongeza Mhe. Mstahiki Meya Benjamini Sitta pamoja na Mkurugenzi Bwana Aron Kagurumjuli kwa kutekeleza miradi mikubwa katika kipindi cha miaka mitano ya utendaji wao wa kazi.

Pongezi hizo zimetolewa na Madiwani hao wakati wa kikao cha Baraza la madiwani robo ya tatu ya mwaka ambapo wamesema kuwa katika kipindi ambacho wamekuwa madiwani wameshuhudia miradi mikubwa ambayo imetekelezwa ikiwa ni juhudi kubwa zinazofanywa na viongozi...

 

10 years ago

Michuzi

KINANA AWASILI WILAYA YA KYERWA, ATAKA MIRADI YA MAENDELEO ISIMAMIWE NA HALMASHAURI SIYO SERIKALI.

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akitembelea shamba la ndizi na kahawa la  mkulima wa Kahawa na Ndizi Ndugu Eustace Kubalienda Kishunji katika kijiji cha Mabila,wilayani Kyerwa mkoani KageraKatibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipata maelezo kutoka kwa mkulima wa Kahawa na Ndizi Ndugu Eustace Kubalienda Kishunji ambaye ni mmiliki wa shamba la Ndizi,, Amesema shamba hilo  lina  miche 345 ambayo huvuna magunia 25 na ana shamba la migomba ambalo humpatia mavuno ya  mikungu...

 

10 years ago

Michuzi

UJENZI WA MAABARA: MAHIZA AWATAKA WAKUU WA IDARA WASIKAE OFISINI WAENDE KWENYE KATA,ATAKA MADIWANI WAAHIRISHE VIKAO VYAO HADI UJENZI UTAKAPOKAMILIKA

Na John Gagarini, Bagamoyo
SUALA la Maabara kwa shule za Sekondari za Kata limeingia kwenye hatua nzito baada ya mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza kuiacha ofisi yake na kuhamia Wilaya ya Bagamoyo ili kuhakikisha agizo la Rais Dk Jakaya Kikwete la kila wilaya iwe imekamilisha ujenzi huo ifikapo Novemba 30 mwaka huu.
Sambamba na hilo mkuu huyo amewataka wakuu wa idara wa Wilaya hiyo kila mmoja kutokaa ofisini na kuchagua kata ya kwenda ili kusimamia ujenzi huo hadi ujenzi wa maabara...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani