Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wastara auza vitu vyake vya ndani

WASTARA1Wastara Juma.

Imelda mtema

Inauma sana! Msanii wa filamu ambaye anasumbuliwa na tatizo na mguu, Wastara Juma inadaiwa hali aliyonayo kwa sasa si nzuri na kupata pesa ya matibabu imekuwa ngumu kwake hivyo ameamua auze baadhi ya vitu vyake vya ndani.

Ndugu wa Wastara aliyeomba jina lake lisiandikwe gazetini alisema kuwa, msanii huyo anapitia kipindi kigumu kwani anahitaji pesa nyingi ili arudi tena Nairobi kwa ajili ya matibabu.

“Kwa maumivu aliyonayo hapati hata muda wa kutoka, muda mwingi...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

LUNGI AKOMBWA VITU VYA NDANI!

BRIGHTON MASALU MWANAMAMA na ‘mtoto wa mjini’, Lungi Maulanga ameibiwa baadhi ya vitu vya ndani wakati akiwa katika matembezi ya usiku.Akizungumza na gazeti hili, Jumatano wiki hii, mmoja wa marafiki ‘changu ni chako’ wa msanii huyo ambaye hakutaka jina lake ‘lichorwe’ gazetini, alisema tukio hilo la hasara lilitokea usiku wa Jumanne nyumbani kwa Lungi  Magomeni jijini Dar wakati akiwa...

 

10 years ago

Vijimambo

SENSEI RUMADHA FUNDI AKIFANYA VITU VYAKE !

Mtaalam wa ngazi ya juu wa mchezo karate na Yoga Sensei Rumadha Fundi (Mtanzania) mwenye Black Belt,6 Dan,anayetambulika kimataifa mwenye makao yake nchini Marekani akifanya Vitu vyake..katika kupasha pasha mwili(Tafadhali usiige mchezo huu bila kupata maelekezo ya wataalamu)
tazama video hizo mbili:Bofya soma zaidi uone video ya pili ya Sebsei Rumadha Fundi akifanya vitu vyake

 

11 years ago

GPL

PROFESA CALABASH AFANYA VITU VYAKE DAR LIVE

Mkali wa maigizo na michezo ya watoto Profesa Calabash akiwapa raha watoto ndani ya Dar Live katika sikukuu ya Krismasi leo.…

 

10 years ago

Vijimambo

Ali Kiba Afanya Vitu Vyake na Kuwapagaisha Wapenzi wa Tamasha la Busara Zenj.

Ali Kiba akilishambulia jukwaa wakati wa onesho lake la ufunguzi wa Tamasha la Busara lililoanza jana katika viwanja vya Ngome Kongwe Zenj na kuwavutia Wageni wengi waliofika katika viwanja hivyo akipiga mziki laivuAli Kiba akifanya vitu vyake katika jukwaa la Tamasha la Sauti za Busara Zenj jana usiku.Wasanii wa kikundi cha Ali Kiba wakitowa burudani katika onesho lao katika viwanja vya Ngomekongwe Zenj Wapenzi wa muziki wakiwa katika viwanja vya Ngomekongwe wakifuatilia Tamasha hilo...

 

10 years ago

Vijimambo

Swahili Fest Community Picnic Mama wa mitindo Asya Idarous kufanya vitu vyake

Mama Asya Idarous Khamsini kuonyesha vazi la khanga

 

10 years ago

Dewji Blog

Swahili Fest Community Picnic Mama wa mitindo Asya Idarous kufanya vitu vyake leo

*

Mwanamitindo na mbunifu Mkongwe kutoka Tanzania, Mama wa Mitindo Asya Idarous Khamsin   leo  Septemba 20, anataraji kuonyesha mavazi ya ubunifu katika Swahili Fest Community Picnic

Swahili Fest Community Picnic.English-page-0

 

 

 

10 years ago

Bongo Movies

Wastara: Yusuph Mlela Anafanana Vitu Vingi na Sajuki

Staa wa Bongo Movies, Wastara Juma amefunguka na kumwagia sifa muigizaji mwenzake, Yusuph Mlela kuwa ni mtu ambaye anafanana vitu vingi na aliyekuwa mume wake, marehemu Sajuki  na kusisitiza kuwa huwa hachoki kufanya naye kazi.

Kupitia ukurasa wakekwenye mtandao wa instagram, Wastara aliweka picah hiyo hapo juu na kuandika;

“Mama na mwana mama na baba nimeipenda kma ilivyo ila kiukweli huyu jamaa nampenda mfano hakuna mpole muelewa hana makuu anao ubinadaamu hana ugomvi na mtu mpole ajui...

 

10 years ago

Bongo5

Fanya vitu kwa usahihi na sio vitu sahihi tu!

Inawezekana unaanza kushaangaa kuna tofauti gani kufanya vitu kwa usahihi na si kufanya vitu sahihi tu. Hiki kitu inawezekana umekutana nacho kazini kwako au siku moja utakutana nacho katika majukumu ya kila siku hapo ofisini. Mara nyingi watu tunapenda kufanya vitu sahihi ila hatujali hivyo vitu sahihi tumevifanya kwa usahihi au lah. Maeneo ya kazi […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani