Fanya vitu kwa usahihi na sio vitu sahihi tu!
Inawezekana unaanza kushaangaa kuna tofauti gani kufanya vitu kwa usahihi na si kufanya vitu sahihi tu. Hiki kitu inawezekana umekutana nacho kazini kwako au siku moja utakutana nacho katika majukumu ya kila siku hapo ofisini. Mara nyingi watu tunapenda kufanya vitu sahihi ila hatujali hivyo vitu sahihi tumevifanya kwa usahihi au lah. Maeneo ya kazi […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
MSANII AKOMBA VITU KWA BWANA’KE
10 years ago
Bongo Movies21 Jun
JB: Vitu Vingi Huwa Naiga Kutoka kwa Baba
Leo ikiwa ni siku ya Kina baba ‘Father’s Day’, ambapo wakinababa duniani kote husherekea kila mwaka inapofika tarehe kama hii ya leo.
Mastaa na watu wengi wakawaida wamewatakia furaha na kujivunia baba zao, Staa wa Bongo Movies, Jacob Stephen ‘JB’ ni moja ya mastaa waliowapongeza na kumtakia baba yake furaha kwenye siku hii ya leo kwa kuweka picha akiwa na baba yake kwenye ukurasa wake mtandaoni na kueleza kuwa toboa kuwa kuna vitu vingi sana huwa ana jaribu kuviiiga kutoka kwa baba yake...
5 years ago
BBCSwahili23 Mar
Coronavirus: Je, virusi vinaweza kukaa kwa muda gani katika vitu kabla kusababisha maambukizi?
5 years ago
MichuziMWAKILISHI WA JIMBO LA UZINI ATOA MSAADA VITU MBALIMBALI KWA AJILI YA KUPAMBANA NA KORONA ZANZIBAR
9 years ago
MillardAyo21 Dec
Vitu vitatu vya kufahamu kutoka kwa Yemi Alade kabla ya kufunga mwaka wa 2015!
Staa wa muziki kutoka Nigeria Yemi Alade ni mmoja wa wasanii kutoka Africa wanaohesabika kuwa na ushawishi mkubwa kwenye soko la muziki la Africa… Nimekutana na interview moja ya Yemi Alade aliyofanya siku chache zilizopita, ndani yake staa huyo amegusia vitu vitatu vikubwa; safari yake ya muziki, sababu iliyopelekea single ya Johnny kuandikwa na mafanikio […]
The post Vitu vitatu vya kufahamu kutoka kwa Yemi Alade kabla ya kufunga mwaka wa 2015! appeared first on TZA_MillardAyo.
11 years ago
Mwananchi11 Mar
Kuchaguana kwa jinsia sio sahihi
11 years ago
Michuzi
BENKI YA POSTA TANZANIA YATOA MSAADA VITU MBALIMBALI KWA WODI YA WATOTO WENYE MAGONJWA YA SARATANI MUHIMBILI


10 years ago
GPLMAMLAKA YA USAFIRI WA ANAGA TANZANIA( TCAA) WATOA MSAADA WA VITU MBALIMBALI KWA KITUO CHA KULEA YATIMA
5 years ago
BBCSwahili22 May
Virusi vya Corona: Vitu gani tunaweza kujifunza kwa nchi ambazo zimepambana mapema na corona?