Wastara: Yusuph Mlela Anafanana Vitu Vingi na Sajuki
Staa wa Bongo Movies, Wastara Juma amefunguka na kumwagia sifa muigizaji mwenzake, Yusuph Mlela kuwa ni mtu ambaye anafanana vitu vingi na aliyekuwa mume wake, marehemu Sajuki na kusisitiza kuwa huwa hachoki kufanya naye kazi.
Kupitia ukurasa wakekwenye mtandao wa instagram, Wastara aliweka picah hiyo hapo juu na kuandika;
“Mama na mwana mama na baba nimeipenda kma ilivyo ila kiukweli huyu jamaa nampenda mfano hakuna mpole muelewa hana makuu anao ubinadaamu hana ugomvi na mtu mpole ajui...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo Movies24 Dec
Wastara: Huyu Jamaa Nampenda Mfano Hakuna, Anafanana Vingi na Sajuki
![Wastara na Mlela](http://www.bongomovies.com/wp-content/uploads/2015/12/WASTARA24.jpg)
Wastara na Mlela
Mama na mwana mama na baba nimeipenda kama ilivyo ila kiukweli huyu jamaa nampenda mfano hakuna, mpole muelewa hana makuu anao ubinadaamu hana ugomvi na mtu, mpole ajui kufoka wala kugombana akikasirika dk 2 tu anarudi kuwa normal. Sichoki kufanya nae kazi namchukulia ni mdogo wangu wa tumbo moja namfananisha vitu vingi na Sajuki si mwingine ni Yusuph Mlela au Mlelandro.
Hayo ni maneno ya mwigizaji Wastara Juma kwenye moja ya post zake kwenye mtandao picha wa instagram...
10 years ago
Raia Tanzania24 Jul
Yusuph Mlela: Nikikupikia biriyani…
YUSUPH Mlela ni msanii maarufu wa filamu nchini aliyeweza kujijengea jina kutokana na kumudu kazi yake kwa kuigiza sehemu tofauti bila kujali uhusika anaouvaa.
Ni miongoni mwa wasanii wachache ambao wameweza kutunza heshima yao tofauti na wasanii wengine wanaotafuta umaarufu kwa kufanya mambo yanayokwenda kinyume na maadili.
Raia Tanzania imezungumza na Mlela ili kujua mambo mbalimbali ya maisha yake awapo nje ya sanaa kama ifuatavyo:
Raia Tanzania: Ukimzungumzia mlela...
5 years ago
Bongo514 Feb
Yusuph Mlela aomba pambano la ngumi na Nay wa Mitego
Msanii wa filamu nchini Yusuph Mlela aamemshutumu rapa Nay Wa Mitego kwa kile anachodai kuwa msanii huyo anapotosha jamii juu ya maandamano waliofanya baadhi ya wasanii wa filamu nchini.
Baada ya wasanii hao kuandamana wakipinga uingizwaji wa filamu za nje ambazo hazilipi kodi, kwa madai ziwaaribia soko lao la filamu za ndani, rapa Nay wa Mitego alisikika akisema kuwa baadhi ya wasanii wa filamu ambao waliandamana ni mataahira kwani kitendo cha wao kutaka filamu za nje zizuiliwe, hakina...
10 years ago
Bongo Movies17 Mar
Yusuph Mlela: Sijaona Tofauti ya Filamu Zetu na za Nje
Mwigizaji Mlela anasema anasema tofauti kubwa ya filamu nje yaani Africa, Ulaya na America na zile za bongo ni fedha tu. Wenzetu wanawekeza fedha nyingi kwenye filamu moja tofauti na sisi. Je wewe mdau unaamini maneno yake?.
Kwamba kama tukiamua siku moja kuwekeza pesa nyingi katika filamu zetu siku moja Mlela anaweza kuingia katika tuzo za Oscar kupambana na wakina Denzel Washngton au Jammie Fox?
Napata mashaka kidogo mimi naamini tofauti ni kubwa zaidi ya pesa.
By Iron Finger Via JF
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-iGTqgdYPOa8/VCJDw65XsaI/AAAAAAAAhns/DE_WlYjj5GM/s72-c/mlela.jpg)
Mwigizaji Yusuph Mlela Ampiga Dongo Nora Amwita Kibibi
![](http://1.bp.blogspot.com/-iGTqgdYPOa8/VCJDw65XsaI/AAAAAAAAhns/DE_WlYjj5GM/s640/mlela.jpg)
10 years ago
Bongo Movies25 Feb
PICHA: Yusuph Mlela na Esha Buheti Wakiwa Nchini Marekani
Hizi ni baadhi ya picha za waigizaji Yusuph Mlela na Esha Buheti wakiwa nchini Marekani ambako wamekwenda kufanya kazi (Filamu) wakiwa chini ya kampuni ya Didas Entertainment ambayo kampuni inajihusisha maswala ya filamu na burudani kwa ujumla.
Tunawatakia kazi njema.
10 years ago
Bongo Movies20 Dec
Picha Nyuma ya Kamera: Yusuph Mlela Akiwa na Asha Boko Wakifanya Yao
Hizi ni baadhi ya picha zilizopigwa wakati wa utengenezaji wa Movie mpya itakayojumuisha mastaa kadhaa wakiwemo, Yusuph Mlela na Asha Boko.
Jina la Movie na itatoka lini? Bado havijawekwa wazi.
Kwauzoefu wako na uelewa wako unadhani movie hii itakuwa ni ya namna gani? Mlela na Asha Boko wamecheza kwenye movie hii wakiwa na mahusiano ya namna gani?
11 years ago
Tanzania Daima17 Jul
Wastara amkumbuka Sajuki
MSANII nyota wa filamu nchini, Wastara Juma, amesema anakutana na changamoto nyingi katika kuandaa filamu zake tangu alipofiwa na mume wake mpendwa, Sajuki Juma aliyekuwa msaada mkubwa kwake. Sajuki alifariki...