BAAMEDI AMGONGA MUUZA MAHINDI AKIFUNDISHWA GARI
![](http://api.ning.com:80/files/yO1JdgjIDGbK9OSx1MQ2SAtd8Z-nmf3Kl*S7Gq1gYJeP7CAHj9P9FkItduVBJrYdvZ5SGrvNf32-Ykk*nKXzwIRrSwpKZmzd/baamedi.jpg?width=650)
Stori: Dustan Shekidele, Morogoro UZEMBE! Josephine Josin (19), mkazi wa Morogoro ambaye anafanya kazi ya uhudumu wa baa iliyopo maeneo ya Mji Mpya, mkaoni hapa, amedaiwa kumgonga na gari muuza mahidi aliyefahamika kwa jina la Pori wakati akifundishwa gari na mpenzi wake. Gari aina ya Toyota Noah lenye namba za usajili T 636 CVE lililopata ajali. Kwa mujibu wa mashuhuda, tukio hilo lilitokea hivi karibuni ambapo dereva wa gari...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vYFBfoh8eSqizsLqRXoehxRNGQbWCzWQYUY4D*eg5gGhepSFFgiv7f0FBZUZOi1W9jUZq3r3cjFynE8OKnjXfdZc3kgP7iwH/POLISI.jpg)
POLISI AMGONGA MTOTO, ATOKA NDUKI, ATELEKEZA GARI
11 years ago
Mwananchi10 Jul
Tanzania kuuza mahindi Kenya tani 50,000 za mahindi
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vKR8mtf*1crMzB1BOgIqFzx2M-1rtcbVACtEw0H8BQIrOpKhzP-V4J9sO6vHGqBeWlymoybgmVkC3ghKQOa*xU0sMAqZ6GXj/baamed.jpg?width=650)
BAAMEDI AUZA BAA NA MTOTO
10 years ago
Bongo Movies01 Oct
Gari Aina la BMW Alilopewa Kama Zawadi na Maneja Wake Martin Kadinda Lazua Maneno. Watu wahoji uwezo wa meneja wake huyo kumnunulia gari hilo huku ye akiendesha gari ''isiyoeleweka''.
Achana na lile gari aina ya Nissan Murano alilozawadiwa na mwandani wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, gari lingine aina ya BMW 545i aliloletewa Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ kwenye pati ya ‘bethidei’ yake ni utata mtupu na maswali kibao
NYUMBANI KWA MADAM
Pati hiyo ambayo iliandika historia katika ulimwengu maridhawa wa mastaa iliangushwa nyumbani kwa mwanadada huyo, Mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar, wikiendi iliyopita ambapo alitimiza umri wa miaka 26.
Katika shughuli...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-DuwM4HxIS7Y/VK2jAsW4t3I/AAAAAAAG758/_0UM0QwaVqc/s72-c/IMG-20150108-WA0008.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Kqu4JOS-VwMaPD9bqKuLXLNvF7QjqlGmeKHy6r4hYlPrR0zOcN1V8-5fWh3*cUWBFfTjOPYZ20YJsYW09zwfuNcmZabz0iF7/dentiz.jpg)
DENTI ABAKWA NA MUUZA GENGE
10 years ago
Vijimambo19 Jun
Askari Polisi Wagongwa Na Gari Baada Ya Gari Hiyo Kukataa
Ajali Arusha: Askari Polisi wagongwa na gari Ni baada ya dereva kusimamishwa akakataa, Trafiki wakapiga simu mbele, alipofika akakutwa askari wameweka kizuizi njiani akapita nao.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/RnVdzGQ*fcK20oPXEd700dhX7WRTyMyDOFuNwi*p9zStKLvGkUkIDPdjaPP3DrBsM9IjZuymHMeqpk6rTD5EXXizqEjIEDwo/MAREHEMU.jpg?width=550)
Marehemu Changa aliokotwa na muuza makopo
10 years ago
BBCSwahili13 Jul
Msako mkali Mexico wa muuza mihadarati