Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Marehemu Changa aliokotwa na muuza makopo

Mchezaji wa zamani wa Yanga, JKT Ruvu na Moro United ambako alikuwa akiichezea hivi sasa Omary Changa amefariki dunia. (Picha: Omary Changa ni wa tatu kutoka kushoto waliosimama, hapa akiwa anaichezea JKT Ruvu) Hans Mloli na Sweetbert Lukonge
MAREHEMU Omari Changa aliyefariki dunia Jumapili iliyopita ambapo gazeti hili lilikuwa la kwanza kuripoti, imeelezwa kuwa mwili wake uligundulika tangu asubuhi ya siku… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WADAU WA SOKA WAMUNZI MAREHEMU OMARY CHANGA KWA BONANZA LA SOKA

Wadau mbali mbali wa mchezi wa Soka jijini Dar es Salaam,leo wamekutana pamoja kwenye viwanja vya Tabata Shule katika Bonanza la kumuenzi Marehemu Omary Changa (pichani) aliyewahi kuwa Mchezaji katika timu za Yanga,JKT Ruvu,Kagera Suger pamoja na Moro United aliefariki dunia mwezi uliopita.Bonanza hilo limefanyika maalum kwa ajili ya kuchangisha fedha za kuisaidia familia ya Marehemu Changa ikiwa ni pamoja na kuweza kufanikisha kisomo cha Arobaini yake.  Mshambuliaji wa Pembeni wa timu ya...

 

11 years ago

GPL

BIBI MJASIRIAMALI WA MAKOPO AENDESHA MAISHA DAR

Makopo yakiwa eneo la nyumba ya bibi huyo ambaye anaonekana kwa mbali akiondoka baada ya kuongea na paparazi wetu. Eneo karibu lote la nyumba hiyo likiwa limezungukwa na makopo. KAMERA ya Global leo ilinasa harakati za ujasiriamali za bibi mmoja maeneo ya Kimara-Suka jijini Dar es Salaam ambako anakusanya makopo na kuyauza  kwa ajili ya kuendesha maisha yake kiufasaha zaidi bila ya… ...

 

11 years ago

CloudsFM

WATU WAMSHANGAA IZO BUSINESS BARABARANI MCHAFU ANAOKOTA MAKOPO

Hivi karibuni wakazi wa maeneo ya Sinza,jijini Dar walipata mshangao baada ya kumwona Rapa Izzo Businezz akiwa akiwa mchafu akipiga njaa kwa ajili ya cover ya ngoma yake mpya inaitwa ‘Walalahoi’, ambayo Izzo ameonekana akiwa kwenye banda la mkaa na nyingine ameonekana akiwa barabarani huku akiwa ameshikilia gunia lake la makopo.Huyu hapa Izzo Business akifunguka changamoto zilikuaje kwenye kupiga picha za cover za ngoma hii.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wakati Uswahilini mkigombania makopo ya msalani, wenzenu hadi mbwa ana choo chake!

WALIOSEMA, maisha ni safari ndefu, sina budi kuwapongeza kwa maana katika hali ya kawaida ya maisha yetu na hususan kwa watu wa kipato cha chini na kati, kwa kweli kila...

 

5 years ago

Bongo5

Jocktan Makeke: Mbunifu wa Tanzania anayetumia ngozi, mifupa, miti, makopo na vingine kutengeneza nguo

Kabla wakoloni hawajaja Afrika na kututawala, mababu zetu walikuwa wakiishi kwa kutegemea mazingira yanayowazunguka.

Mavazi waliyovaa, yalitokana na miti na vitu vingine vya asili. Baada ya mkoloni kuja na kudai kuleta ustaarabu Afrika, mengi yalibadilika. Tukipeleka mbele hadi mwaka 2017, asilimia zaidi ya 90 ya nguo ambazo Watanzania tunavaa, ni zile zilizotengenezwa nje na nyingi huja kama mitumba.

Mbunifu wa mavazi/Msanii wa mitindo, Jocktan Makeke ana jicho la tofauti katika namna...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

GPL

DENTI ABAKWA NA MUUZA GENGE

Stori: Shani Ramadhani na Denis Mtima Msala! Kwenye Kituo cha Polisi cha Maturubai kilichopo Mbagala, Dar kuna faili la kesi namba MBL/RB/ 9817/2014- KUFANYA MAPENZI NA MWANAFUNZI ambalo linamsaka kijana Juma Athumani (30), mkazi wa Charambe, Mbagala kwa kosa la ubakaji wa denti wa darasa la saba. Denti wa darasa la saba aliyebakwa na muuza genge anayefahamika kwa jina la Juma Athumani (30) Habari za kiintelijensia zilidai...

 

10 years ago

Michuzi

DUA YA KUMUOMBEA MAREHEMU Marehemu Omar Ndege Mgori KUFANYIKA NOVEMBA 23, 2014

Marehemu Omar Ndege MgoriFamilia ya  Mzee Ndege inatoa shukurani nyingi kwa ndugu, jamaa marafiki ma majirani waliokuwa nao bega kwa bega tokea ndugu yao mpendwa Marehemu Omar Ndege Mgori kilichotokea mwezi wa jana huko  India  na hatimaye kuzikwa  siku ya jumatatu Oktoba 13, 2014 kwenye makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam. Familia inasema haina cha kuwalipa zaidi ya  AHSANTE SANA na kumuomba Mola awajazie pale palipopungua.
Dua maalumu ya kumuombea Marehemu Omar Ndege Mgori imepangwa...

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRA ZA MAZIKO YA MAREHEMU SPIKA MSTAAFU WA BARAZA LA WAWAKILISHI MAREHEMU ALI KHAMIS ABDALLAH

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akishiriki katika kumswalia Marehemu Ali Khamis Abdallah, Spika mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar,  katika Masjid Makhfoudh ulioko Mazizini Nje ya Mji wa Zanzibar jana Makamanda wa jeshi la Polisi Zanzibar wakilibeba jeneza la Marehemu Ali Khamis  Abdalla Spika mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar aliyezikwa Fuoni jana,maziko yake yaliyoongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani