Wakati Uswahilini mkigombania makopo ya msalani, wenzenu hadi mbwa ana choo chake!
WALIOSEMA, maisha ni safari ndefu, sina budi kuwapongeza kwa maana katika hali ya kawaida ya maisha yetu na hususan kwa watu wa kipato cha chini na kati, kwa kweli kila...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili13 Feb
Je wajua mbwa ana jua tofauti zetu?
10 years ago
Mwananchi29 Oct
Ariel Sharon: Mpiganaji aliyekumbana na misukosuko hadi kifo chake
11 years ago
CloudsFM03 Jun
HAPINESS MAGESE AELEZEA YALIYOMKUTA HADI AKAONDOLEWA KIZAZI CHAKE
Februari ya kila mwaka huenda ikawa ni kumbukumbu mbaya kwa mwanamitindo na Miss Tanzania 2001, Hapiness Millen Magese ambaye mwezi huo ndipo alipogundulika kuwa hataweza kupata mtoto katika maisha yake yote.
Hali hiyo ndio imemlazimu mwanamitindo huyo kuanzisha taasisi ya kuwasaidia wanawake wengine hapa nchini ili waepuke kile ambacho kimemkuta yeye baada ya kuondolewa uzazi kwa ugonjwa ambao hapendi kusikia unamtokea mwanamke mwingine.
"Nikiwa sekondari nilikuwa napatwa na ugonjwa ambao kwa...
10 years ago
Mwananchi03 Dec
Kikwete ana wakati mgumu akijaribu kupuuza maazimio ya Bunge
10 years ago
Bongo Movies14 Feb
Wakati Nyalandu Anakanusha Kuhusika na Mimba ya Aunty Ezekiel, Iyobo Nae Ana Haya..…
Baada ya hapo jana Waziri Lazaro Nyalandu kupitia Clouds FM kukanusha tuhuma zilizokuwa zimezagaa kwenye magazeti na mitandaoni za kuwa anachepuka na mwigizaji wa filamu hapa bongo, Aunty Ezekiel na kusisitiza kuwa yeye sio muhusika wa ujauzito wa mwigizaji huyo, nikaamua kupitapita kwenye kurasa za mcheza shoo wa Diamond, Moses Iyobo ambae ndio anasemekana kuwa yeye ndio amempa ujauziko mwigizaji huyo.
Kwanza nilikutana na andiko la malalamiko kutoka kwa Iyobo, ambae alikuwa ameweka...
9 years ago
Bongo Movies20 Sep
Wakati Baadhi Ya Wasanii wa Bongo Movies Wamejikita Kwenye Siasa, Gabo Ana Haya
Mcheza filamu Salim Ahmed ‘Gabo’ amesema sanaa haitakufa licha la wimbi la wasanii wake kujikita katika maswala ya siasa kwa sasa, kwasababau wapo amabo wameamua kuiendeleza kwa kwenda mbele.
Gabo amesema pamekuwa na wasiwasi kwamba fani ya filamu haitaweza tena kuwa pale ilipokuwa baada ya kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwezi ujao kutokana na wasanii wengi kuwania kuingia Bungeni na chuki baina yao.
Maishani kila mmoja ana maamuzi yake, alisema Gabo , na ndiyo maana ana chofikieria...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ws8ZUKcMJII/U_9lIrjSr2I/AAAAAAABLxA/PuEl3wjc1g4/s72-c/IMG_2204.jpg)
OKWI AREJEA SIMBA SC KUCHEZA KWA MUDA KULINDA KIPAJI CHAKE WAKATI KESI YAKE NA YANGA IKIENDELEA
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAMSTAILI ile ile waliyotumia Yanga SC kumpata mshambuliaji Emmanuel Arnold Okwi ndiyo ambayo klabu yake ya zamani, Simba SC inaitumia kumrejesha kundini Mganda huyo.
Akizungumza na Waandishi wa Habari jioni hii mjini Dar es Salaam, Okwi amesema kwamba amesaini Simba SC mkataba huru wa muda, baada ya Yanga SC kumpa barua ya kusitisha mkataba naye jana pamoja na kumshitaki Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
Okwi amesema ameamua kuomba kuichezea Simba SC kipindi...
10 years ago
CloudsFM21 Nov
WAKATI FELA ANA MPANGO WA KUMALIZA BIFU NA JUMA NATURE, NATURE ACHOMOA MCHONGO
Mkurugenzi wa kituo cha kukuza vipaji vya wasanii “Mkubwa na Wanae”, Saidi Fela ambaye pia ni kiongozi wa kundi la TMK Wanaume Family, kundi ambalo lilianzishwa mwanzoni mwa miaka ya 2000 baadaye likaja kuvunjika vipande viwili likazaliwa kundi la TMK Halisi chini ya Juma Nature, hiyo ilikuwa mwaka 2006.
Hivi karibuni Said Fela amefunguka kuwa ana mpango wa kumfuata Juma Nature ili wakae chini na kushirikiana kikazi kama zamani. Lakini alipoulizwa Juma Nature kama yuko tayari kufanya kazi na...
10 years ago
GPL01 May